Ushauri: Nisaidieni namna Bora ya kutibu tatizo linalomuandama mama yangu

Hizo ni side effects za dawa za muda mrefu. Wagonjwa wengi wa ukimwi under ART's wanakuwaga na visirani sana
Very possible and likely to be the case.
Another cause may be as a result of Cryptococcal Meningitis which is common in people who have compromised immune systems as may be seen in those with AIDS.
 
Hiyo ni fangasi ya ubongo. Ndiyo huleta kichaa kwa wagonjwa wa UKIMWI. Mpelekeni hospitali apigwe dawa. Mkichelewa anakufa.
 
Habari wakuu poleni na majukumu mbalimbali ya Kila siku

Mama yanguamekumbwa na tatizo ambalo hata sisi binafsi kama watoto wake tumeshindwa kumuelewa

Labda nianze Kwa kusema mama ni mwathirika wa virusi vya ukimwi Kwa Muda mrefu na amekua akitumia vidonge vya ARVS Kwa Muda mrefu sana. kipindi cha nyuma tulikua tukiishi nae vizuri tu tukiwa wote nyumbani kabla ya sisi watoto wake kutawanyika Kila mmoja kuishi katika mji wake na familia yake (baba yetu alifariki Muda mrefu sana tangu mwaka 1994)

Sasa mnamo mwaka 2018 baada ya sisi watoto kutawanyika nyumbani tulimwacha mwenyewe pale nyumbani na ikawa tunamuhudumia Kwa matumizi ya hapa na pale,ilipofika mwezi wa 11 kuelekea mwezi wa 12 mwaka huo ndipo tatizo hili lilipoanza

Akawa anatuambia wanangu hapa nyumbani naona Kuna watu wanakuja wananifatilia wanataka kuniua Mimi siwaelewi tukawa tuna muuliza ni watu gani hao mbona sisi wakati tunaishi hapo hatukuwai kuwa na tatizo na mtu,akazidi kusisitiza kwamba Mimi siwezi kuendelea kuishi hapa naomba mje mnichukue

Basi dada yetu mkubwa ikabidi apange safari aende akamchukue mana yeye ndiye anaeishi nae karibu zaidi kuliko sisi wengine mana tupo mikoa ya mbali, baada ya kumchukua na kuanza kuishi nae lile tatizo likawa kama limemtoka la kuhisi watu wanamfatilia wanataka wamuue.... Bas ikaenda Kwa Muda kama wa mwaka mmoja hivi akadai anataka aende kijijini kukaa Kwa madai yake kwamba anataka kubadilisha mazingira haikua tatizo
Tukampeleka Kwa mama yetu mdogo nae alisema ngoja nijaribu kuishi nae mana mama mdogo ni mtu wa maombi sana kanisani masaa 24

Yaan tulivyompeleka kule ndo kama tukawa tumeongeza tatizo ikawa Kila Muda tunaambiwa kwamba mama yenu anataka kujinyonga ety amechoka kuishi anaona Kila mtu mbaya kwake Hana Nia njema juu yake ikawa ni kulalamika Kila Leo kwamba mama yenu mdogo ananichukia,mara watoto wake hawanieshimu yaani ikawa taflani

Mpaka kufikia hatua mamdogo kusema mje mumchukue mama yenu Mimi amenishinda inafikia hatua anataka ajinyongee nyumbani kwangu tena mbele ya watoto wangu Mimi Kwa kweli hapana

Dada ikabidi aende akamchukue amrudishe tena nyumbani kwake mana ni mama yetu hatuna namna inabidi tuishi nae hvyo hvyo
Sasa baada ya kumrudisha yaan ndo kama tatizo limezidi kua kubwa zaidi mpaka dada nae ameanza kuhofia juu ya uhai wake mana amekua ni mtu wa kulaumu Kila mtu hamna mtu anaefanya jema kwake imefikia hatua anadai sisi tunapanga njama za kumuua kwanza hatumthamini kitu ambacho sio kweli mbaya zaidi anadai Mimi Bora nife tu Sina nilichobakiza Dunian,wakati mwingine anaongea vitu havieleweki,avielezeki yaan
Amekua ni mtu wa kuwaza tuuuu Muda wote Yani halali usingizi,ni kama mtu mwenye uwoga
Muda mwingine anatukana mpaka watoto wa dada kwamba nao Wana njama za kutaka kumuua,Sasa unajiulizan watoto wadogo hawa akili ya namna hiyo waitolee wapi

Kifupi ni kama mtu aliyechanganyikiwa,analaumu Kila anaemuona mbele yake kwamba ni sababu ya yeye kua hivyo.
Sasa wakuu hii tatizo linaniumiza sana kichwa changu sijui tunafanyaje kutibu hili tatizo.mana kama ni kuombewa ameshaombewa sana tu tangu kule Kwa mamdogo lakini wapi Mambo yamekua magumu

Najiuliza uenda ni issue ya phycology tumtafutie wanasaikolojia wakae nae wazungumze nae sisi tulishaongea nae mara nyingi sana hamna kitu tumeambulia

Sasa ndugu zangu nimeleta kwenu mnishauri nifanyaje kutibu tatizo halilonalo mama angu
Sipendi awe kwenye hali hii inatuchanganya familia nzima hatuelewi la kufanya we are so confused Kwa kweli

Natanguliza shukrani wakuu
Mtafuteni mtu wa kweli wa Mungu amwombee yawezekana yule wa kwanza hakuwa na nguvu.
 
Hiyo ni side effects ya kutumia Arv za aina moja mda mrefu.
 
Very possible and likely to be the case.
Another cause may be as a result of Cryptococcal Meningitis which is common in people who have compromised immune systems as may be seen in those with AIDS.
I didn't realize it before
 
Pole Sana .. ..hizo Ni moja wapo ya side effect za matumizi ya dawa ...muda mrefu.. ..Waelezeni clinic abadilishiwe dawa, ale vyakula / matunda likely yenye kutoa /kupunguza sumu mwilini.. ..

Jitahidi ... Yeye ajenge picha ya nafasi yake ya toka mkiwa watoto bado ipo vile vile.. kunyenyekea.. ..kujishusha.. kuwa na muda mwingi Naye ... .. matembezi ..nk

Nina mjomba wangu.. Ni mtihani... Nyumba..mke ..watoto..kavuruga na sasa Ana vuruga ndugu... Tuligundua Hilo kwa kuchelewa Sana.. ..zingatia pia huu ugonjwa Kuna stage flani ukifikia unamfanya mtu kuwa Kama hivyo..

Mna Hali ngumu Sana lakini naamini Mungu Ni mwema .atakuwa sawa...
 
Hizo ni side effect za dawA
 
Ishini nae kama alivyo.

Mchukulieni hivyo hivyo wala mkiwa nae msioneshe kwamba yeye ana shida au ni mgonjwa wa akili, hiyo ya kumuona ni mgonjwa wa akili ndo inamuumiza na kumchanganya zaidi.

Mkiwa hivyo nyie wakubwa hata watoto wataweza kuishi nae hivyo hivyo ila mkimchukulia kama mgonjwa wa akili mnamuua mama yenu mapema zaidi.

Mvumilieni, puuzeni, ila akiumwa basi muwe serious kumtibia na ishu nyingine mazoona ni serious mnamsaidia pia yaani muwe upande wake muda mwingi, mpeni ushindi mara nyingi.
 
Sawa mkuu asante
 
Pole Sana .. ..hizo Ni moja wapo ya side effect za matumizi ya dawa ...muda mrefu.. ..Waelezeni clinic abadilishiwe dawa, ale vyakula / matunda likely yenye kutoa /kupunguza sumu mwilini.. ..

Jitahidi ... Yeye ajenge picha ya nafasi yake ya toka mkiwa watoto bado ipo vile vile.. kunyenyekea.. ..kujishusha.. kuwa na muda mwingi Naye ... .. matembezi ..nk

Nina mjomba wangu.. Ni mtihani... Nyumba..mke ..watoto..kavuruga na sasa Ana vuruga ndugu... Tuligundua Hilo kwa kuchelewa Sana.. ..zingatia pia huu ugonjwa Kuna stage flani ukifikia unamfanya mtu kuwa Kama hivyo..

Mna Hali ngumu Sana lakini naamini Mungu Ni mwema .atakuwa sawa...
Shukrani kiongozi
 
Habari wakuu poleni na majukumu mbalimbali ya Kila siku

Mama yanguamekumbwa na tatizo ambalo hata sisi binafsi kama watoto wake tumeshindwa kumuelewa

Labda nianze Kwa kusema mama ni mwathirika wa virusi vya ukimwi Kwa Muda mrefu na amekua akitumia vidonge vya ARVS Kwa Muda mrefu sana. kipindi cha nyuma tulikua tukiishi nae vizuri tu tukiwa wote nyumbani kabla ya sisi watoto wake kutawanyika Kila mmoja kuishi katika mji wake na familia yake (baba yetu alifariki Muda mrefu sana tangu mwaka 1994)

Sasa mnamo mwaka 2018 baada ya sisi watoto kutawanyika nyumbani tulimwacha mwenyewe pale nyumbani na ikawa tunamuhudumia Kwa matumizi ya hapa na pale,ilipofika mwezi wa 11 kuelekea mwezi wa 12 mwaka huo ndipo tatizo hili lilipoanza

Akawa anatuambia wanangu hapa nyumbani naona Kuna watu wanakuja wananifatilia wanataka kuniua Mimi siwaelewi tukawa tuna muuliza ni watu gani hao mbona sisi wakati tunaishi hapo hatukuwai kuwa na tatizo na mtu,akazidi kusisitiza kwamba Mimi siwezi kuendelea kuishi hapa naomba mje mnichukue

Basi dada yetu mkubwa ikabidi apange safari aende akamchukue mana yeye ndiye anaeishi nae karibu zaidi kuliko sisi wengine mana tupo mikoa ya mbali, baada ya kumchukua na kuanza kuishi nae lile tatizo likawa kama limemtoka la kuhisi watu wanamfatilia wanataka wamuue.... Bas ikaenda Kwa Muda kama wa mwaka mmoja hivi akadai anataka aende kijijini kukaa Kwa madai yake kwamba anataka kubadilisha mazingira haikua tatizo
Tukampeleka Kwa mama yetu mdogo nae alisema ngoja nijaribu kuishi nae mana mama mdogo ni mtu wa maombi sana kanisani masaa 24

Yaan tulivyompeleka kule ndo kama tukawa tumeongeza tatizo ikawa Kila Muda tunaambiwa kwamba mama yenu anataka kujinyonga ety amechoka kuishi anaona Kila mtu mbaya kwake Hana Nia njema juu yake ikawa ni kulalamika Kila Leo kwamba mama yenu mdogo ananichukia,mara watoto wake hawanieshimu yaani ikawa taflani

Mpaka kufikia hatua mamdogo kusema mje mumchukue mama yenu Mimi amenishinda inafikia hatua anataka ajinyongee nyumbani kwangu tena mbele ya watoto wangu Mimi Kwa kweli hapana

Dada ikabidi aende akamchukue amrudishe tena nyumbani kwake mana ni mama yetu hatuna namna inabidi tuishi nae hvyo hvyo
Sasa baada ya kumrudisha yaan ndo kama tatizo limezidi kua kubwa zaidi mpaka dada nae ameanza kuhofia juu ya uhai wake mana amekua ni mtu wa kulaumu Kila mtu hamna mtu anaefanya jema kwake imefikia hatua anadai sisi tunapanga njama za kumuua kwanza hatumthamini kitu ambacho sio kweli mbaya zaidi anadai Mimi Bora nife tu Sina nilichobakiza Dunian,wakati mwingine anaongea vitu havieleweki,avielezeki yaan
Amekua ni mtu wa kuwaza tuuuu Muda wote Yani halali usingizi,ni kama mtu mwenye uwoga
Muda mwingine anatukana mpaka watoto wa dada kwamba nao Wana njama za kutaka kumuua,Sasa unajiulizan watoto wadogo hawa akili ya namna hiyo waitolee wapi

Kifupi ni kama mtu aliyechanganyikiwa,analaumu Kila anaemuona mbele yake kwamba ni sababu ya yeye kua hivyo.
Sasa wakuu hii tatizo linaniumiza sana kichwa changu sijui tunafanyaje kutibu hili tatizo.mana kama ni kuombewa ameshaombewa sana tu tangu kule Kwa mamdogo lakini wapi Mambo yamekua magumu

Najiuliza uenda ni issue ya phycology tumtafutie wanasaikolojia wakae nae wazungumze nae sisi tulishaongea nae mara nyingi sana hamna kitu tumeambulia

Sasa ndugu zangu nimeleta kwenu mnishauri nifanyaje kutibu tatizo halilonalo mama angu
Sipendi awe kwenye hali hii inatuchanganya familia nzima hatuelewi la kufanya we are so confused Kwa kweli

Natanguliza shukrani wakuu
Tengeneza imani ya uponyaji ndani yako Kisha ihamishie kwake katika ulimwengu wa roho. Mungu ni wa uzima tele,, Na ni mwema Sana.
 
Back
Top Bottom