USHAURI: Nirudiane naye au nikaushe?

USHAURI: Nirudiane naye au nikaushe?

Kumbe ka moyo kanamtaka, tukikuzuia utaenda tu mi naona fanya moyo wako unachopenda ila kinga ni muhimu

Nb limbwata nayo ipo huwezi juwa anakuwazia nini
Kweli tena siendi, kwanza nikikumbuka matukio ya nyuma...na mlivyoona hapo ni red flag!!! Acha ikae.
 
Mtihani ni nini tena? Hapo wee mwambie njoo lodge flani tuchakatane basi
Halafu niikule kama samaki sio?
Ila hapana, itabidi nifuate ushauri mkuu. Wacha ntakupa through pass ufanye yako.
 
Kamiss huduma zako na si wewe mwenyewe.
Sasa hapo akili mukichwa. Kama una pesa za mchezo rudi tena ukadharaulike huku ukiwa unahudumia na safari hii sio yeye tu utahudumia mpaka mtoto wa mwanaume mwenzio.

Daima katika mahusiano mpaka mkifikia kuwa ma 'ex' elewa ni kwa sababu na daima hizo sababu huwa hazibadiliki as long as wahusika ni wale wale ikimaanisha tabia zile zile.
Msitu mpya lakini nyani walewale
 
Vitu vingine sio hata vya kuomba ushauri... HAKUPENDI,amekwama huko ndio karudi kukurubuni......Akili mtu wangu
 
Back
Top Bottom