USHAURI: Nirudiane naye au nikaushe?

USHAURI: Nirudiane naye au nikaushe?

Mkuu you've to depend your head none is perfect. Every human being susceptible to human flaws
Real talk, though there comes a time getting opinions from the ones looking outside matters. Not all the time, but some times. All one needs is a genuine opinion.
 
Wanawake wote hawa bado Mariana na ex kweli aisee kila mtu na kipaji chake.
 
Bila mambo mengi,

Jana asubuhi asubuhi si nikakuta missed call za pisi flani zikiambatana na text za nimekumiss. Ah! Mida mida nikaamua kujibu ile basi tu. Mrembo kaanza kunieleza vitu anavyovikumbuka kwangu (vizawadi vya hapa na pale), yani mpaka lile tango pori lenyewe. Na mimi nikawa tu nafanya kuakisi vaibu, kwamba ooh! Ata pia nimekumbuka hiki na hiki.

Sasa basi, niwape historia! Huyu mrembo (kifaaa kweli kweli), mweupe, tabasamu flani ivi, vimacho kama vya mchina, yani kazuri siyo mchezo, tulifanya kukutana kwenye sherehe ya familia, kidogo kidogo tukaingia kwenye mahusiano. Kuna kipindi mpaka nilimwambia tupate mtoto, akawa kama hanielewi hivi.

Akaanza kuniletea mapicha picha ya sijui tuma hela halafu ni bila hata heshima. Huwa nilikuwa namtumia, ila nikimuambia tupatane, napigwa kanzu za Okocha, nisipotuma, matusi au ugomvi.

Saa zingine kama anasema ni hela ya chakula namwambia ntanunua chakula tukae tule pamoja halafu na hela ntakupa. Bado unasikia kakupigia simu hasira za mkizi, dharau juu! Dah! Nikaona isiwe kesi, nikajiongeza, nikaanza mahusiano na mzungu wangu fulani hivi.

Kama mwaka hivi ukakata, nikaja kusikia mrembo ana ujauzito, kweli katika kupiga mahesabu, ujauzito haungekuwa wangu. Nikamshukuru Mola kwa kuninusuru majuto ya milele. Basi, nikaendelea na maisha yangu mdogo mdogo, Mzungu wangu naye alikuja rudi Ulaya, mrembo naye alishajifungua.

Kama mwaka mwingine tayari umepita, siku moja nasikia simu inaita halafu namba ngeni. Kupokea hivi, ni sauti ya mrembo, nilielewa ni yeye ila nikawa naongea kawaida tu wala sijamchangamkia, kauliza mbona namkaushia, nikamjibu kawaida tu. Imepanda imeshuka, kaona sina vaibu, akaniambia nilikuwa nakujulia hali.

Ndiyo sasa tunarudi kwenye maswala ya jana. Aliponitafuta nikawa nazungumza naye, kaenda moja kwa moja kwamba anataka nikamchakate mbususu halafu ahamishie majeshi kwangu, yani awe pisi yangu.

Nikampima akili kwamba kama anaishi na mwanae siwezi, halafu baba yake mwanae ataichukuliaje hiyo? Akanijibu oooh yuko single, baba yake mwana ana pisi nyingine, halafu kuhusu kuchakatana, anaweza akaja kwangu, au mwana akisha kula alale usiku ndiyo niibuke, halafu babake mwana hawezi kuja ovyo ovyo kumcheki mwanae, mpaka atoe taarifa.

Huwa sipendi kuleta pisi nyumbani kwangu mpaka nijihakikishie kweli anafaa, maana ndiyo kuoa huko. Kwahiyo nikampima haraka kwamba poa, usiku ntakuja.

Akaanza oooh twende pole pole, sijui utaniacha ukishakula mbususu, mara nataka unishtukize na vile vizawadi, tupange siku maalum. Nikamchekesha chekesha hapo lakini dah, haiji. Mbona yeye kaja haraka hivyo halafu ananiambia niwe mpole?

Sasa si leo, kanipiga ujumbe mmoja wa "Ninaumwa", kuuliza ni nini, kasema "Mwili unamuuma".

Wataalam wa haya maswala, naombeni moja na mbili zenu nielewe mfumo hapa, ndiyo mara ya kwanza yananitokea haya!
Na usikute ana kajiukimwi kake anatka mshee, kiufupi kafta huduma tu.!
 
Yaani demu kakutema Hadi akazalishwa,ila unataka kuludiana nae???!
 
Sio mimi nilietaka mkuu, yeye ndo kaja kwa gia ya kusema kamissi tango pori langu na mengine mengi.

Halafu, utanisamehe kidogo kwa kukurekebisha kwamba ni 'kurudiana' sio ulichoandika hapo.
 
Bila mambo mengi,

Jana asubuhi asubuhi si nikakuta missed call za pisi flani zikiambatana na text za nimekumiss. Ah! Mida mida nikaamua kujibu ile basi tu. Mrembo kaanza kunieleza vitu anavyovikumbuka kwangu (vizawadi vya hapa na pale), yani mpaka lile tango pori lenyewe. Na mimi nikawa tu nafanya kuakisi vaibu, kwamba ooh! Ata pia nimekumbuka hiki na hiki.

Sasa basi, niwape historia! Huyu mrembo (kifaaa kweli kweli), mweupe, tabasamu flani ivi, vimacho kama vya mchina, yani kazuri siyo mchezo, tulifanya kukutana kwenye sherehe ya familia, kidogo kidogo tukaingia kwenye mahusiano. Kuna kipindi mpaka nilimwambia tupate mtoto, akawa kama hanielewi hivi.

Akaanza kuniletea mapicha picha ya sijui tuma hela halafu ni bila hata heshima. Huwa nilikuwa namtumia, ila nikimuambia tupatane, napigwa kanzu za Okocha, nisipotuma, matusi au ugomvi.

Saa zingine kama anasema ni hela ya chakula namwambia ntanunua chakula tukae tule pamoja halafu na hela ntakupa. Bado unasikia kakupigia simu hasira za mkizi, dharau juu! Dah! Nikaona isiwe kesi, nikajiongeza, nikaanza mahusiano na mzungu wangu fulani hivi.

Kama mwaka hivi ukakata, nikaja kusikia mrembo ana ujauzito, kweli katika kupiga mahesabu, ujauzito haungekuwa wangu. Nikamshukuru Mola kwa kuninusuru majuto ya milele. Basi, nikaendelea na maisha yangu mdogo mdogo, Mzungu wangu naye alikuja rudi Ulaya, mrembo naye alishajifungua.

Kama mwaka mwingine tayari umepita, siku moja nasikia simu inaita halafu namba ngeni. Kupokea hivi, ni sauti ya mrembo, nilielewa ni yeye ila nikawa naongea kawaida tu wala sijamchangamkia, kauliza mbona namkaushia, nikamjibu kawaida tu. Imepanda imeshuka, kaona sina vaibu, akaniambia nilikuwa nakujulia hali.

Ndiyo sasa tunarudi kwenye maswala ya jana. Aliponitafuta nikawa nazungumza naye, kaenda moja kwa moja kwamba anataka nikamchakate mbususu halafu ahamishie majeshi kwangu, yani awe pisi yangu.

Nikampima akili kwamba kama anaishi na mwanae siwezi, halafu baba yake mwanae ataichukuliaje hiyo? Akanijibu oooh yuko single, baba yake mwana ana pisi nyingine, halafu kuhusu kuchakatana, anaweza akaja kwangu, au mwana akisha kula alale usiku ndiyo niibuke, halafu babake mwana hawezi kuja ovyo ovyo kumcheki mwanae, mpaka atoe taarifa.

Huwa sipendi kuleta pisi nyumbani kwangu mpaka nijihakikishie kweli anafaa, maana ndiyo kuoa huko. Kwahiyo nikampima haraka kwamba poa, usiku ntakuja.

Akaanza oooh twende pole pole, sijui utaniacha ukishakula mbususu, mara nataka unishtukize na vile vizawadi, tupange siku maalum. Nikamchekesha chekesha hapo lakini dah, haiji. Mbona yeye kaja haraka hivyo halafu ananiambia niwe mpole?

Sasa si leo, kanipiga ujumbe mmoja wa "Ninaumwa", kuuliza ni nini, kasema "Mwili unamuuma".

Wataalam wa haya maswala, naombeni moja na mbili zenu nielewe mfumo hapa, ndiyo mara ya kwanza yananitokea haya!
Muoneshe kama huna muda naye.
 
Back
Top Bottom