Mtanie kwanza yaani muulize ikiwa ungeomba akukopee hela angejisikiaje. Kisha msubiri atoe jibu ndio utajua maoni yake kabla hujaingia mzima mzima. Kama maoni yake ni positive basi muombe rasmi kama negative badili topic.Umoufia kwenu!
Wakuu nina shida ya kifedha na nimekwama kabisa kupata fedha kutoka vyanzo vingine ingawa nina uhakika 101% kwamba mchepuko wangu ana uwezo wa kunikopesha kiasi cha fedha (Tsh 900,000) ninachihitaji kumlipia mwanangu karo ya shule. Kama mjuavyo shule zitafunguliwa jumatatu hii ya tarehe 29/04/2019 na mzazi ambaye hajalipa ada mtoto wake hatachukuliwa na basi ya shule.
Lakini kila nikifikiria kumu-approach mchepuko huyu roho inakataa. Unajua mazoea yana taabu sana. Mimi siku zote nimekuwa nikijionyesha kutokuwa na shida ya pesa, hasa linapokuja suala la matumizi kwa ajili ya mchepuko wangu. Mchepuko ni mhasibu mwandamizi katika benki moja maarufu hapa Dar wakati mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari katika Wilaya ya Kinondoni. Nina uhakika kuwa uwezo wa kunikopesha hata 1M leo anao, lakini nitaanzaje?
Kuna wakati nahisi kuomba fedha kwa mchepuko ni ishara ya UDHAIFU au kwamba anaweza kuniacha….kwa kudhani kuwa mimi sina manufaa yoyote kwake in future. Kwa kweli nipo njia panda. Najiuliza: Akikataa kunipa hizo fedha kisha akalala mbele, ina maana nitakuwa nimekosa vyote….chekeli na mbunye. Nami siko tayari kumkosa mwanamke huyu kwa gharama yoyote ile.
Swali jengine najiuliza: Je, nione aibu kuomba fedha dogo ashindwe kuhudhuria masomo hadi nikipata fedha from another source? Naona nitakuwa sijamtendea haki dogo kwa kumkosesha masomo. Sasa nifanyeje?
Naomba ushauri wenu katika hili maana niko njia panda. Sitaki kumpoteza mchepuko wala sitaki dogo akose masomo kwa uzembe wangu. Mnanishaurije?
Nyie msio waaminifu mnaojiharibia sifa mjini na pindi mpatapo dharura ya kweli hamsaidiki Tena.Kama anakupenda ukampanga vizurii mbona Atakupa hadi ATM card ukajitolee mwenyewee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na alafu kama mimi nikikopaga kwa manzi huwa simlipii...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inategemeana mkuu...!! Sasa huyo wewe tu ndo unampa wangu tunapeana...Nyie msio waaminifu mnaojiharibia sifa mjini na pindi mpatapo dharura ya kweli hamsaidiki Tena.
Nilikuwa na kakijana kamoja ka kupoozana genye,siku akaja ananililia shida ya laki 5,nikampa Tena nilitoa kwenye akaunti ya mwanangu ya ada,nikamsihi akikaa vyema baada ya mwezi airejeshe kwani ni ya mwanangu akiba yake ya ada,akanihakikishia nisijali.
Basi bwana baada ya kumpatia ile hela akakata mawasiliano nami,nikakaa kimya nikasema shida haziishagi.Mungu si athuman hata mwaka haukuisha akapigwa chini kazini kwao kwa wachina,akaanza nitafuta nikamjibu niko busy nikipata muda ntamtafuta .Huezi amini sikumtafuta katu,ni miez 7 imepita kapauka hatari,Kila leo anaomba tuonane nampiga kalenda.siwezi onana na msaliti asiye na shukran aliona kawin ,hajui usitukane mamba hujavuka mto walijisemea wahenga.
Bibie huyu ni mume wa mtu ....Mwanamke anaekupenda kaka angu kama anacho atakupa tu.
Hata kama aliingia na gia hiyo bado kuna muda mambo yanakwama
Huo ungese sifanyi mama angu. Akaombe anapopeleka pesaBibie huyu ni mume wa mtu ....
Swali linakuja kwako mfano unadate na mume wa mtu hana mpango hata wa kukuoa anakuja kukwambia huu ushubwada unampa pesa??? Yaani mkewe yupo huko pesa umpe wewe unatoa???? Hiiiiiiiiiiiiiii wacha nicheke tu
Hahahahahahaah eti kabisaaaa mwanaume anasema nataka kumwomba mchepuko pesa nimpeleke mwanangu shuleni looooooolHuo ungese sifanyi mama angu. Akaombe anapopeleka pesa
Hawa ndio wanaume wa siku hizi, taabu tupu.Hv kwa mfano tukikuambia umuombe/usimuombe utamuomba/hautamuomba sababu sisi tumesema??
Mpaka hapo wewe ni mwanaume dhaifu sanaaa, kwahiyo usione taabu kuendeleza huo udhaifu.Sawa mkuu, nitajaribu ila naogopa kuonekana mwanaume dhaifu kwa kuwa sijawahi kumuomba hela zaidi ya yeye kuniomba pale anapokwama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti mwenzangu mfano wewe unadate na mume wa mtu jamaa aje kukuomba pesa Kama hivi wakati mkewe kachanua miguu tu huko nyumbani we unampa??? Hata kumkopesha unamkopesha?Hawa ndio wanaume wa siku hizi, taabu tupu.
Thubutuuuu.Eti mwenzangu mfano wewe unadate na mume wa mtu jamaa aje kukuomba pesa Kama hivi wakati mkewe kachanua miguu tu huko nyumbani we unampa??? Hata kumkopesha unamkopesha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikua nasubiri tarehe zikaribie shule kufunguliwa, ndipo nikuje kuomba mrejesho...[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani kishatoa mrejesho?