Nyie walimu mmepata mshahara Jumamosi tarehe 19 sasa umeshindwa kuibana ukaachana na matumizi yasiyokuwa na lazima umekaa unamtolea macho mfanyakazi mwenzio huo ni udhaifu na utajichoresha sana. Mwananume usiwe kilialia ukiona kichaka mavi yanakubana
hata mimi huyu jamaa nahic philosophy na psychology ya profession yake havimsaidii kabisaSina uhakika kama wewe kweli ni mwl,kama ni kweli basi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo na ndo maana watoto wetu wanafeli sn.Unasema ni mchepuko mara asikuone kama huna future naye.Najiuliza wewe umeoa au hujaoa? Na je yeye kaolewa au hajaolewa.Maana unavyoongea ni kana kwamba kuna mpango wa kuja kuwa mke na mme,na kama ni hajaolewa na wewe hujaoa unamwitaje mchepuko? Au hujui neno mchepuko linatumikaje.Tatizo umejikweza kuwa unazo wakati huna.Narudia kama kweli wewe ni mwl basi elimu ya tz ina changamoto nyingi.
Kabisaa... Aseme hata biashara zimezinguaa walahi atampaaa...Naona tpaul anatupiga kamba hapa. Mkuu mwombe ila usimwambie kama ni karo ya dogo. Tafuta sababu tu nyingine ya dharula
Umoufia kwenu!
Wakuu nina shida ya kifedha na nimekwama kabisa kupata fedha kutoka vyanzo vingine ingawa nina uhakika 101% kwamba mchepuko wangu ana uwezo wa kunikopesha kiasi cha fedha (Tsh 900,000) ninachihitaji kumlipia mwanangu karo ya shule. Kama mjuavyo shule zitafunguliwa jumatatu hii ya tarehe 29/04/2019 na mzazi ambaye hajalipa ada mtoto wake hatachukuliwa na basi ya shule.
Lakini kila nikifikiria kumu-approach mchepuko huyu roho inakataa. Unajua mazoea yana taabu sana. Mimi siku zote nimekuwa nikijionyesha kutokuwa na shida ya pesa, hasa linapokuja suala la matumizi kwa ajili ya mchepuko wangu. Mchepuko ni mhasibu mwandamizi katika benki moja maarufu hapa Dar wakati mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari katika Wilaya ya Kinondoni. Nina uhakika kuwa uwezo wa kunikopesha hata 1M leo anao, lakini nitaanzaje?
Kuna wakati nahisi kuomba fedha kwa mchepuko ni ishara ya UDHAIFU au kwamba anaweza kuniacha….kwa kudhani kuwa mimi sina manufaa yoyote kwake in future. Kwa kweli nipo njia panda. Najiuliza: Akikataa kunipa hizo fedha kisha akalala mbele, ina maana nitakuwa nimekosa vyote….chekeli na mbunye. Nami siko tayari kumkosa mwanamke huyu kwa gharama yoyote ile.
Swali jengine najiuliza: Je, nione aibu kuomba fedha dogo ashindwe kuhudhuria masomo hadi nikipata fedha from another source? Naona nitakuwa sijamtendea haki dogo kwa kumkosesha masomo. Sasa nifanyeje?
Naomba ushauri wenu katika hili maana niko njia panda. Sitaki kumpoteza mchepuko wala sitaki dogo akose masomo kwa uzembe wangu. Mnanishaurije?
Omba tu hata akikunyima utajua hakua na mapenzi ya dhati kwako.
Mwanamke anaekupenda kaka angu kama anacho atakupa tu.Mkuu anaweza akwa hana hela, nafikiri mapenzi ya dhati hayapimwi kwa kunyimwa hela.
Jamaa tu aliingia kwa gia ya mkwanja so uongo aliuzidisha Now amejikuta yupo nje ya ukweli.
shida is Real ila bado anaigiza ana maisha mazuri
Mapenzi ya dhati wakati ni mume wa mtu? Sijui hii dunia inaenda wapiKama unampaga akikwama lazima na yeye atakusaidia tu.
Sioni sababu ya kujibana kwa mchepuko wakati unajua ana uwezo.
Omba tu hata akikunyima utajua hakua na mapenzi ya dhati kwako.
Kama anajua ni mume wa mtu asahau kupata hyo hela.Mapenzi ya dhati wakati ni mume wa mtu? Sijui hii dunia inaenda wapi
Mwanamke anaekupenda kaka angu kama anacho atakupa tu
Ni kweli kabisa. Yupo tayari akupe mgegedo siku nzima hata ikibidi ufie kifuani mwake lakini sio akupe hela. Ndio maana nimweka thredi hii hapa ili wadau wanisadie mawazo jinsi ya kumuingia huyu mwanamke.Hawa viumbe hela yao haitokagi
Ambao walishasaidiwa watakujaNi kweli kabisa. Yupo tayari akupe mgegedo siku nzima hata ikibidi ufie kifuani mwake lakini sio akupe hela. Ndio maana nimweka thredi hii hapa ili wadau wanisadie mawazo jinsi ya kumuingia huyu mwanamke.