Ushauri: Niombe fedha kwa mchepuko au niache?

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
26,025
Reaction score
25,432
Umoufia kwenu!

Wakuu nina shida ya kifedha na nimekwama kabisa kupata fedha kutoka vyanzo vingine ingawa nina uhakika 101% kwamba mchepuko wangu ana uwezo wa kunikopesha kiasi cha fedha (Tsh 900,000) ninachihitaji kumlipia mwanangu karo ya shule. Kama mjuavyo shule zitafunguliwa jumatatu hii ya tarehe 29/04/2019 na mzazi ambaye hajalipa ada mtoto wake hatachukuliwa na basi ya shule.

Lakini kila nikifikiria kumu-approach mchepuko huyu roho inakataa. Unajua mazoea yana taabu sana. Mimi siku zote nimekuwa nikijionyesha kutokuwa na shida ya pesa, hasa linapokuja suala la matumizi kwa ajili ya mchepuko wangu. Mchepuko ni mhasibu mwandamizi katika benki moja maarufu hapa Dar wakati mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari katika Wilaya ya Kinondoni. Nina uhakika kuwa uwezo wa kunikopesha hata 1M leo anao, lakini nitaanzaje?

Kuna wakati nahisi kuomba fedha kwa mchepuko ni ishara ya UDHAIFU au kwamba anaweza kuniacha….kwa kudhani kuwa mimi sina manufaa yoyote kwake in future. Kwa kweli nipo njia panda. Najiuliza: Akikataa kunipa hizo fedha kisha akalala mbele, ina maana nitakuwa nimekosa vyote….chekeli na mbunye. Nami siko tayari kumkosa mwanamke huyu kwa gharama yoyote ile.

Swali jengine najiuliza: Je, nione aibu kuomba fedha dogo ashindwe kuhudhuria masomo hadi nikipata fedha from another source? Naona nitakuwa sijamtendea haki dogo kwa kumkosesha masomo. Sasa nifanyeje?

Naomba ushauri wenu katika hili maana niko njia panda. Sitaki kumpoteza mchepuko wala sitaki dogo akose masomo kwa uzembe wangu. Mnanishaurije?
 
Kweli kabisa mkuu na ahakikishe anamrudishia ili kujijengea uaminifu na kulinda heshima yake kwake (kwa mchepuko)
 
Muombe tuh, kama anakupenda kweli atakupa tu.
Kikubwa jitahidi saana kumrejeshea ili ujenge uaminifu kwake.
 
Mwambie mapema leo kabla shule haijafunguliwa ili lijulikane moja kama unapata au haupati..
 
Umoufia kwenu!

Wakuu nina shida ya kifedha na nimekwama kabisa kupata fedha kutoka vyanzo vingine ingawa nina uhakika 101% kwamba mchepuko wangu ana uwezo wa kunikopesha kiasi cha fedha (Tsh 900,000) ninachihitaji kumlipia mwanangu karo ya shule. Kama mjuavyo shule zitafunguliwa jumatatu hii ya tarehe 29/04/2019 na mzazi ambaye hajalipa ada mtoto wake hatachukuliwa na basi ya shule.

Lakini kila nikifikiria kumu-approach mchepuko huyu roho inakataa. Unajua mazoea yana taabu sana. Mimi siku zote nimekuwa nikijionyesha kutokuwa na shida ya pesa, hasa linapokuja suala la matumizi kwa ajili ya mchepuko wangu. Mchepuko ni mhasibu mwandamizi katika benki moja maarufu hapa Dar wakati mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari katika Wilaya ya Kinondoni. Nina uhakika kuwa uwezo wa kunikopesha hata 1M leo anao, lakini nitaanzaje?

Kuna wakati nahisi kuomba fedha kwa mchepuko ni ishara ya UDHAIFU au kwamba anaweza kuniacha….kwa kudhani kuwa mimi sina manufaa yoyote kwake in future. Kwa kweli nipo njia panda. Najiuliza: Akikataa kunipa hizo fedha kisha akalala mbele, ina maana nitakuwa nimekosa vyote….chekeli na mbunye. Nami siko tayari kumkosa mwanamke huyu kwa gharama yoyote ile.

Swali jengine najiuliza: Je, nione aibu kuomba fedha dogo ashindwe kuhudhuria masomo hadi nikipata fedha from another source? Naona nitakuwa sijamtendea haki dogo kwa kumkosesha masomo. Sasa nifanyeje?

Naomba ushauri wenu katika hili maana niko njia panda. Sitaki kumpoteza mchepuko wala sitaki dogo akose masomo kwa uzembe wangu. Mnanishaurije?
Sina uhakika kama wewe kweli ni mwl,kama ni kweli basi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo na ndo maana watoto wetu wanafeli sn.Unasema ni mchepuko mara asikuone kama huna future naye.Najiuliza wewe umeoa au hujaoa? Na je yeye kaolewa au hajaolewa.Maana unavyoongea ni kana kwamba kuna mpango wa kuja kuwa mke na mme,na kama ni hajaolewa na wewe hujaoa unamwitaje mchepuko? Au hujui neno mchepuko linatumikaje.Tatizo umejikweza kuwa unazo wakati huna.Narudia kama kweli wewe ni mwl basi elimu ya tz ina changamoto nyingi.
 
Jilipue tuu, matatizo ya kifedha yako kwa kila mtu, ninapokwama huwa nnaenda kuzichukua kwa yule tunayetumia nae zangu najua anatunza na ana kiasi gani bank na matumizi yake hivyo hawezi kuninyima ila tuu lazima nirudishe
 
Mkuu, ningelikwishamwambia siku nyingi lakini naogopa kuonekana dhaifu na akikataa kunipa hizo fedha anaweza kunimwaga nikakosa mbunye pamwe. Nifanyeje mkuu?
Mwambie mapema leo kabla shule haijafunguliwa ili lijulikane moja kama unapata au haupati..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu, nitajaribu ila naogopa kuonekana mwanaume dhaifu kwa kuwa sijawahi kumuomba hela zaidi ya yeye kuniomba pale anapokwama.
Itisha mgegedo wa dharula kisha baada ya shughuli, weka wazi kuwa dogo anatakiwa aende shule ila umekosa doo. Mpe hakikisho kwamba umekwama ila utamrudishia ukizinyaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umoufia kwenu!

Wakuu nina shida ya kifedha na nimekwama kabisa kupata fedha kutoka vyanzo vingine ingawa nina uhakika 101% kwamba mchepuko wangu ana uwezo wa kunikopesha kiasi cha fedha (Tsh 900,000) ninachihitaji kumlipia mwanangu karo ya shule. Kama mjuavyo shule zitafunguliwa jumatatu hii ya tarehe 29/04/2019 na mzazi ambaye hajalipa ada mtoto wake hatachukuliwa na basi ya shule.

Lakini kila nikifikiria kumu-approach mchepuko huyu roho inakataa. Unajua mazoea yana taabu sana. Mimi siku zote nimekuwa nikijionyesha kutokuwa na shida ya pesa, hasa linapokuja suala la matumizi kwa ajili ya mchepuko wangu. Mchepuko ni mhasibu mwandamizi katika benki moja maarufu hapa Dar wakati mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari katika Wilaya ya Kinondoni. Nina uhakika kuwa uwezo wa kunikopesha hata 1M leo anao, lakini nitaanzaje?

Kuna wakati nahisi kuomba fedha kwa mchepuko ni ishara ya UDHAIFU au kwamba anaweza kuniacha….kwa kudhani kuwa mimi sina manufaa yoyote kwake in future. Kwa kweli nipo njia panda. Najiuliza: Akikataa kunipa hizo fedha kisha akalala mbele, ina maana nitakuwa nimekosa vyote….chekeli na mbunye. Nami siko tayari kumkosa mwanamke huyu kwa gharama yoyote ile.

Swali jengine najiuliza: Je, nione aibu kuomba fedha dogo ashindwe kuhudhuria masomo hadi nikipata fedha from another source? Naona nitakuwa sijamtendea haki dogo kwa kumkosesha masomo. Sasa nifanyeje?

Naomba ushauri wenu katika hili maana niko njia panda. Sitaki kumpoteza mchepuko wala sitaki dogo akose masomo kwa uzembe wangu. Mnanishaurije?
Nyie walimu mmepata mshahara Jumamosi tarehe 19 sasa umeshindwa kuibana ukaachana na matumizi yasiyokuwa na lazima umekaa unamtolea macho mfanyakazi mwenzio huo ni udhaifu na utajichoresha sana. Mwananume usiwe kilialia ukiona kichaka mavi yanakubana
 
Mkuu, mimi nimeoa lakini yeye bado hajaolewa. Kuhusu shule mimi niko vizuri darasani na shule yetu kila mwaka inaangukia kwenye top 10 kitaifa. Unanishaurije kuhusu hili jambo linalonisibu mkuu?

Back
Top Bottom