Ulisearch vipi mkuu????Basi mkuu wala haukifaidi hicho kisimbusi, Cha dish kina Chanel's nyingi mpaka kero kuna mahala nilienda nikajaribu ku_search kikaleta hadi brazzers tv (channel ya porn)
Hata mm nshangaaHiki king'amuzi kipya au vile vya zamani? Mbona wanasema ziko tano je tsh ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia dish au antena ?Hivyo sijajua
Srartimes iko fresh mkuu free local channel 10
CLOUDS
ITV
EATV
TV E
TV 1
SAFARI TV (hii ni ya utalii na wanyama wa ndani Tanzania) inamilikiwa nazani tanapa
UPENDO TV (hii ni ya gospel mpya)
TBC
STAR TV
CHANNEL 10
Kufurushi kikiisha we unapeta tuu alafu ipo clear balaa
Kama una kisimbusi chao cha dish search kawaida all satellites itakuja mpaka brazzers tvUlisearch vipi mkuu????
Sent using Jamii Forums mobile app
daah poa ngoja nijaribu...Kama una kisimbusi chao cha dish search kawaida all satellites itakuja mpaka brazzers tv
Ikikubari nijuze bro,hivi star times ina mfumo wa radio zinapatikana?daah poa ngoja nijaribu...
wazee wa nanii kazini πππdaah poa ngoja nijaribu...
Bro umeamua kisimbuzi gani ununue? Au ting na star times bora kipi kwa muonekano na sauti? Nijulishe hilowazee wa nanii kazini [emoji23][emoji23][emoji23]