ushauri: ninunue king'amuzi kipi?!

Yes,ubora wa picha ting na star times yupi best hapo ili chague kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Startimes wanapicha mbovu mno kama utanunua cha antenna, ila dish liko vizuri sema FTA ndio utapata nazo shida Ting wao hawana matatizo japo hawafikii idadi ya channels zilizoko kwenye kisimbusi cha dish startimes
 
Kwahio ninunue ting au star times kati ya hivi viwili Mimi napenda local sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FTA Tanzania ni tano tu, na ukitumia dish la startimes hata hizo tano utazisikia radion unaweza bahatisha mbili au moja
Nikitaka kuangalia local channels huwa na naweka startimes antenna. Napata free tbc 1, tv1, chann10, startv, itv, eatv, clouds, etv, wrm, living water, tv tumaini na upendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi mkuu wala haukifaidi hicho kisimbusi, Cha dish kina Chanel's nyingi mpaka kero kuna mahala nilienda nikajaribu ku_search kikaleta hadi brazzers tv (channel ya porn)
Startimes??

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…