Ushauri mambo muhimu ya kuzingatia katika ununuzi wa mashine(incubator) za kuangulia vifaranga

Mar 27, 2018
10
3
Kuna aina mbili za Incubator
mashine;
(i)Zinazotumia mfumo wa Fan ndani ili kusambaza joto
(ii)Hizi nyingine zinatumia mfumo wa joto tu bila fan

Hizi za kutumia fan ndani ya mashine ndio nzuri na utendeji wake ni mkubwa na matokeo maziri..

MAMBO MUHIMU
1:GHARAMA ZA UENDESHAJI
2:SIFA AMBAZO INCUBATOR MASHINE INATAKIWE IWE NAZO
(i) Iwe AUTOMATIC INCUBATOR
Tunapozungumzia automatic ni ule uwezo wa kufanya operation zote

Leo nilipenda tuangazie ni jinsi gani ya kuweza kupunguza gharama za uendeshaji wa Incubator mashine..
Na uchague Incubator gani itakayo kufaa katika utendaji wako wa ujasiriamali

INCUBATOR SOLAR NA GAS ni jibu tosha katika ujasirimali(biashara) yako..
Sifa zake
Matumizi madogo sana kwa ajili ya uendeshaji wa mwezi mmoja
Gharama yako ni Elfu 20,000/= tu.
Sifa nyingine ufanisi wa uanguaji wa mayai ni 98%
Unaponunua incubator hii utapewa
Vifaa vifuatavyo
Battery
Solar Panel
Control Charge na
Mitungi ya gas kwa ajiri ya uendeshaji wa kazi..

Mashine hii inatumika katika mazingira yoyote yale iwe MJINI au KIJIJINI kwa sababu zenyewe zinajitegenea kwa kila kitu..

Pia tunazo mashine zinazotumi UMEME tu na vyanzo vingine;

Zifuatazo ni bei za incubator za SOLAR NA GAS
Mayai 176 = 1,400,000/=
Mayai 264 = 1,500,000/=
Mayai 352 = 1,800,000/=
Mayai 440 = 2,000,000/=
Mayai 528 = 2,200,000/=
Mayai 704 = 2,300,000/=
Mayai 880 = 2,800,000/=
Mayai 1408 = 3,500,000/=


Bei za mashine zinazotumia umeme tu;
Mayai 176 = 650,000/=
Mayai 264 = 850,000/=
Mayai 352 = 1,000,000/=
Mayai 440 = 1,200,000/=
Mayai 528 = 1,300,000/=
Mayai 704 = 1,600,000/=
Mayai 880 = 1,800,000/=
Mayai 1408 = 2,500,000/=

Hizi INCUBATOR MASHINE ni made in Tanzania

Warranty ni Mwaka Mmoja

Kwa Mawasiliano zaidi na Ushauri.
0713 852 296
0755 450 970
0787 309 396

Picha za incubator;
FB_IMG_1521811118194.jpg

FB_IMG_1521811109688.jpg

FB_IMG_1520918476655.jpg

FB_IMG_1521811059862.jpg

FB_IMG_1521811076382.jpg

IMG-20180321-WA0019.jpg
 
Back
Top Bottom