Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,883
- 51,697
We kibokousitoe aisee.. poteza kazi.. mwenye mali kashikilia.. madhara ya kutembea na mume wa mtu.. hawa waume wa watu wanamilikiwa usiwe unajisanua tu ..

We kibokousitoe aisee.. poteza kazi.. mwenye mali kashikilia.. madhara ya kutembea na mume wa mtu.. hawa waume wa watu wanamilikiwa usiwe unajisanua tu ..

ndiyo ukweli unakuta binti anajiachia na mume wa mtu hadi mimba bila kukumbuka kuwa yeye ni mwizi na mwenye mali yupo katulia zake ndanihana presha..... mume wa mtu mtamu ila asikutie mimba huwa wanageuka shubiri... hasa pale utakapo gundua kakuzalisha kaenda kutongoza tena mdogo zaidi yako ..We kiboko![]()
![]()
Upo sahihi, ndo nilicho mchana mimi katika previous comments.ndiyo ukweli unakuta binti anajiachia na mume wa mtu hadi mimba bila kukumbuka kuwa yeye ni mwizi na mwenye mali yupo katulia zake ndanihana presha..... mume wa mtu mtamu ila asikutie mimba huwa wanageuka shubiri... hasa pale utakapo gundua kakuzalisha kaenda kutongoza tena mdogo zaidi yako ..
Ulitaka aseme nini wakati ulijua ni mume wa mtu???Heri ya pasaka nyote,
Ninaomba ushauri wenu nimetoka na mume wa mtu nimejigundua nimenasa ujauzito wake.
Sasa mbaya zaidi amekubali lakini hasemi kifuatacho ni nini, sasahivi lazima simu zake nisimpate.
Na ikigundulika kazini nitapoteza kazi yangu cause ninafanya kazi kwenye shirika la kidini hairuhusiwi ngono kabla ya ndoa.
Naomba ushauri wenu wa busara
Asante sana. Ushauri mzuri Na Mungu akubariki sanaNi kweli unafanyia kazi Shirika la kidini, lakini kuanguka na kusimama ndiyo sehemu ya ubinadamu tulioumbwa nao na wala usitishike na huo mkwara wa kuachishwa kazi.
Siungi mkono ngono kabla ya ndoa lakini inawezekana ulijikwaa, na kama unanisikiliza nakusihi usijaribu kamwe kuitoa maana hiyo ndiyo dhambi kubwa kabisa itakayokusumbua katika maisha yako yote na baadae ahera.
Wakikugundua jitetee ilikuwa bahati mbaya kwani kulikuwa na mtu aliyekulaghai atakuoa na ambaye kaingia mitini baada ya kutimiza adhma yake. Nakuhakikishia hawatakufukuza kwani miongoni mwao hakutakuwa na hata mmoja ambaye hajafanya kosa kama hilo, dhamira itawasuta.
Mara nyingi jamvini humu watu hufanya mizaha badala ya kutoa ushauri wa kusaidia, ila wapo wenye ushauri mzuri kabisa. Karibu ukipenda ushauri zaidi, unaweza nitumia PM! Pole kwa kuumia.Asante sana. Ushauri mzuri Na Mungu akubariki sana
Nonsense!!! Waambie hilo shirika kua umepata mimba nje ya ndoa..Heri ya pasaka nyote,