Ushauri: Nina mimba ya mume wa mtu

Ushauri: Nina mimba ya mume wa mtu

Katubu then tunza huyo mtoto (sema ukweli na Mungu atakusikia)
Kama hutak sema kwel Fanya iwe SIRI then utaona MUNGU atavyofanya kwak sab umevunja maagano
 
Huwa mnajeruhi sana wanawake wenzenu ..ila hamtambui hilo..
Mungu akusamehe na kukusaidia ktika hili
 
Kabla hujanasa mbona hukuomba ushauri kua unaenda kugegedwa na mume wa mtu?
 
Heri ya pasaka nyote,

Ninaomba ushauri wenu nimetoka na mume wa mtu nimejigundua nimenasa ujauzito wake.

Sasa mbaya zaidi amekubali lakini hasemi kifuatacho ni nini, sasahivi lazima simu zake nisimpate.

Na ikigundulika kazini nitapoteza kazi yangu cause ninafanya kazi kwenye shirika la kidini hairuhusiwi ngono kabla ya ndoa.

Naomba ushauri wenu wa busara

Vitu vingine ukifanya huitaji ushari bali unaiachia 'nature' ichukue mkondo wake au wewe mwenyewe ufanye maamuzi. Utafichaje mimba ofisini kama sio kwenda kuua. Halafu kama huyo bwana kakubali na kabaki kimya wewe shida yako ni nini? Labda tuanza na wewe mwenyewe, unafikiria hatua zipi za kuchukua na madhara yake na faida zake - long term.
 
Ushauri gani sasa unataka? Namna ya kumtunza mtoto au namna yakubaki kazini au namna ya kuolewa na mume wa MTU? Kama utakuwa wazi ushauri utakuwa straight forward. Princessor
 
Ulidhani wewe ni mzuri kuliko mkewe...
Ona sasa mimba ilivyomtoa baru....
Mjuege kuwa mnatumiwa...siyo kujiachia mazima....mtembee na waume za watu kwa akili...mkae mkijua kuwa uwezekekano wa nyie kubaki spare ni mkubwa...na spare lazima iwe imara kuliko tairi la kila siku....hapo huyo mwanaume anatafuta kimada mwingine wewe huna tena tofauti na mkewe ...wote mna watoto...abaki na wewe kwa lipi?!
Kama amekoma atatulia na mkewe...hajakoma anaendelea tafuta dogo dogo mwingine...
Lea mwanao...tulia ...huwezi jua unaweza pata muoaji (wale wasiojali single mothers)...
Else jiunge na group la single mothers (kama alivyosema mdau) mkafarijiane huko Instagram...
 
Heri ya pasaka nyote,

Ninaomba ushauri wenu nimetoka na mume wa mtu nimejigundua nimenasa ujauzito wake.

Sasa mbaya zaidi amekubali lakini hasemi kifuatacho ni nini, sasahivi lazima simu zake nisimpate.

Na ikigundulika kazini nitapoteza kazi yangu cause ninafanya kazi kwenye shirika la kidini hairuhusiwi ngono kabla ya ndoa.

Naomba ushauri wenu wa busara
KWELI HUU MCHEZO HAUITAJI HASIRA
 
1.Umetembea na mme wa mtu
2.Umezini
3.Una mimba ya mme wa mtu

Vyote hivyo Mungu amezuia ktk amri zake 10.

Lakini ww wasi wasi wako ni kufukuzwa kazi tu.

#Mapenzi Noma.
 
Back
Top Bottom