Vituka
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 2,268
- 1,267
Nakataa hii dhana ya kwamba wanawake wanadanganyika!kama hakujua kuwa jamaa alikuwa kaoa ni Saw a kusema kadanganyika ila huyu alikuwa anajua kila kitu!Inaonekana wewe ni mama wa familia, naona umeumizwa sana na yeye kutoka na Mme wa MTU kuliko kumhurumia yeye
Mimi nasema ni bahati mbaya
Kumbuka mwanamke anadanganyika kirahisi,