mume wa mtu mtam ww ndiyo wenye dil mjinHivi lazima kusex na mume Wa mtu ? Tena irresponsible
Ona kimenuka kakuachia msala
mume wa mtu siyo sumu ww Acha hizo mume wa mtu mtamMume as mtu ni sumu, itakutafuna sana
Ndio umeshafanya ngono kabla ya ndoaHeri ya pasaka nyote,
Ninaomba ushauri wenu nimetoka na mume wa mtu nimejigundua nimenasa ujauzito wake.
Sasa mbaya zaidi amekubali lakini hasemi kifuatacho ni nini, sasahivi lazima simu zake nisimpate.
Na ikigundulika kazini nitapoteza kazi yangu cause ninafanya kazi kwenye shirika la kidini hairuhusiwi ngono kabla ya ndoa.
Naomba ushauri wenu wa busara
Aisee usiue hicho kiumbe dadaangu.Heri ya pasaka nyote,
Ninaomba ushauri wenu nimetoka na mume wa mtu nimejigundua nimenasa ujauzito wake.
Sasa mbaya zaidi amekubali lakini hasemi kifuatacho ni nini, sasahivi lazima simu zake nisimpate.
Na ikigundulika kazini nitapoteza kazi yangu cause ninafanya kazi kwenye shirika la kidini hairuhusiwi ngono kabla ya ndoa.
Naomba ushauri wenu wa busara
Mkuu Salama? Nitaipataje hiyo avator yako?mume wa mtu mtam ww ndiyo wenye dil mjin
Waataarifu mapema kazini kwenu kuwa umefunga ndoa ya mkekaHeri ya pasaka nyote,
Ninaomba ushauri wenu nimetoka na mume wa mtu nimejigundua nimenasa ujauzito wake.
Sasa mbaya zaidi amekubali lakini hasemi kifuatacho ni nini, sasahivi lazima simu zake nisimpate.
Na ikigundulika kazini nitapoteza kazi yangu cause ninafanya kazi kwenye shirika la kidini hairuhusiwi ngono kabla ya ndoa.
Naomba ushauri wenu wa busara
Nimelipenda jina lko bujibujiWishing you all the best