Ushauri: Nina mimba ya mume wa mtu

Ushauri: Nina mimba ya mume wa mtu

Heri ya pasaka nyote,

Ninaomba ushauri wenu nimetoka na mume wa mtu nimejigundua nimenasa ujauzito wake.

Sasa mbaya zaidi amekubali lakini hasemi kifuatacho ni nini, sasahivi lazima simu zake nisimpate.

Na ikigundulika kazini nitapoteza kazi yangu cause ninafanya kazi kwenye shirika la kidini hairuhusiwi ngono kabla ya ndoa.

Naomba ushauri wenu wa busara
Mrudishie uja uzito wake
 
mume wa mtu siyo sumu ww Acha hizo mume wa mtu mtam
Jaribu uone huyo mwenzio anahunyahunya tu!Angekuwa kabeba Mimba ya mwanaume wake angekuwa anasherehekea ila ona Sasa anavyohaha!!!
 
Sijazima simu makusudi, nipo na familia kwenye mapumziko ya pasaka. Umesahau? Mbona nlikueleza? Ntakupigia j4 tutaliweka vizuri tu usiwe na shaka.
Naomba namba ya mkeo nimpe deal
 
Maji yameshamwagika hayazoleki. Tubu kwa Mungu wako na usirudie kosa hilo tena.... Usitoe hiyo mimba tafuta mtaji ufungue biashara uweze kujihudumia
 
Heri ya pasaka nyote,

Ninaomba ushauri wenu nimetoka na mume wa mtu nimejigundua nimenasa ujauzito wake.

Sasa mbaya zaidi amekubali lakini hasemi kifuatacho ni nini, sasahivi lazima simu zake nisimpate.

Na ikigundulika kazini nitapoteza kazi yangu cause ninafanya kazi kwenye shirika la kidini hairuhusiwi ngono kabla ya ndoa.

Naomba ushauri wenu wa busara
Lengo namba moja la kulana utam aka kwichikwichi ni kuzaa na kuijaza dunia....naona unaelekea kutimiza kusudi la Mungu.....hongera sana kwa hilo kumbuka kuepuka kunywa pombe kali, uvutaji wa sigara vitaathiri ukuaji wa mtoto.....kila la kheri
 
Dada sijui nikupe pole au nikwambie ukome!!!!
vyovyote iwavyo ukitoa huyo kiumbe atakushika mkono akwambie ''mama twwnde wote''
Jamani heshimuni ndoa za watu, mbona vijana no wengi sana wanatafuta mabinti wa kuzuga nao? maana kama kuolewa hata huyo ulijua kabisa hatakuoa. Tamaa imekuponza.
Mwisho nakuhurumia maana kila mwosha huoshwa. Nawe ukija kuolewa mumeo atatoka nje sana tuu, tena kwa dharau anaweza kukuletea hata mtoto, vema iwe mtoto pekee!
Nakutakia malezi mema ya single parent wewe!!
 
Mamafive angalia watoto watakuona mwehu atii...ila usiwe na hasira sana, maisha mafupi haya.
Noted mkuu. Ndio maana nikakimbilia humu ili hasira zishuke faster na hili limefanikiwa. Awante kwa uwhauri wa kunitakia mema!
 
Dada sijui nikupe pole au nikwambie ukome!!!!
vyovyote iwavyo ukitoa huyo kiumbe atakushika mkono akwambie ''mama twwnde wote''
Jamani heshimuni ndoa za watu, mbona vijana no wengi sana wanatafuta mabinti wa kuzuga nao? maana kama kuolewa hata huyo ulijua kabisa hatakuoa. Tamaa imekuponza.
Mwisho nakuhurumia maana kila mwosha huoshwa. Nawe ukija kuolewa mumeo atatoka nje sana tuu, tena kwa dharau anaweza kukuletea hata mtoto, vema iwe mtoto pekee!
Nakutakia malezi mema ya single parent wewe!!
Inaonekana wewe ni mama wa familia, naona umeumizwa sana na yeye kutoka na Mme wa MTU kuliko kumhurumia yeye
Mimi nasema ni bahati mbaya
Kumbuka mwanamke anadanganyika kirahisi,
 
Heri ya pasaka nyote,

Ninaomba ushauri wenu nimetoka na mume wa mtu nimejigundua nimenasa ujauzito wake.

Sasa mbaya zaidi amekubali lakini hasemi kifuatacho ni nini, sasahivi lazima simu zake nisimpate.

Na ikigundulika kazini nitapoteza kazi yangu cause ninafanya kazi kwenye shirika la kidini hairuhusiwi ngono kabla ya ndoa.

Naomba ushauri wenu wa busara
malipo ni hapa hapa duniani
 
Kuvuaana chupi kutamu eeeh?

Subiri miezi 9 mama, ukitoa mimba unakuwa ndo umeongeza dhambi ya kuuwa.....

Tulia tuu hadi mwez December mwaka huu lazima uende Theatre Room
 
Heri ya pasaka nyote,

Ninaomba ushauri wenu nimetoka na mume wa mtu nimejigundua nimenasa ujauzito wake.

Sasa mbaya zaidi amekubali lakini hasemi kifuatacho ni nini, sasahivi lazima simu zake nisimpate.

Na ikigundulika kazini nitapoteza kazi yangu cause ninafanya kazi kwenye shirika la kidini hairuhusiwi ngono kabla ya ndoa.

Naomba ushauri wenu wa busara
Ni pm nikupe ushauri
 
Kwani mlifyokua mnapanga kulima, kutafuta mbegu na pia kusubiri msimu wa mvua mlikua mnategemea vipi? Jitaidini kupeana moyo mumalizie mavuno.
 
Back
Top Bottom