Ushauri: Nina 200,00 nahitaji smart phone yenye sifa hizi !

Innjoo fire plus
9f0b441e9459896c0e82b1294b05e5ca.jpg
 
Vuta tecno c5

1. Network ni 4g, 3g,2g hata g sahau 3g hapa nlipo napata spidi amazing kwa tigi tigo 4g

2. Camera 8mp yaani iko vizuri balaa nasoma chuo notes za mwalim ubaoni na solution za kwenye madaftari ni kupiga picha tu...kazi Keisha

3. Kioo chake ni HD supports 720 ,,hapa ni mwendo wa hd movies

4. Android version take ni 5.0x yaani lollopo na nna uwezo wa ku-upgrade keenda mpya ya marsh.ellow

5. Dual sim ...laini mbili

6. Battery life hata niwashe data sometimes inakaa siku mbili

Chukua techno c5
 
Mkuu naomba kujua kama kuna uwezekano wa kufungua simu zenye carrier kama AT&T, Ohne, VERIZON, et al.
inawezekana ndio waone wanao unlock simu, pia cheki online gharama zake halafu linganisha utajua wapi wana unafuu
 
Vuta tecno c5

1. Network ni 4g, 3g,2g hata g sahau 3g hapa nlipo napata spidi amazing kwa tigi tigo 4g

2. Camera 8mp yaani iko vizuri balaa nasoma chuo notes za mwalim ubaoni na solution za kwenye madaftari ni kupiga picha tu...kazi Keisha

3. Kioo chake ni HD supports 720 ,,hapa ni mwendo wa hd movies

4. Android version take ni 5.0x yaani lollopo na nna uwezo wa ku-upgrade keenda mpya ya marsh.ellow

5. Dual sim ...laini mbili

6. Battery life hata niwashe data sometimes inakaa siku mbili

Chukua techno c5
mkuu c5 mpya sh. ngapi na duka gani ntaipata?
 
vip samsung j3 ubora wake? kwa wale walioitumia msaada plz
 
j5 na p8 lite inaweza kuwa bei gani mkuu
hio range ulioitaja ndio zinapatikana

j5 as cheap as 390,000 nimeiona madukani, samsung shop wanauza version ya 3g 420,000 na ya 4g ni 450,000. na p8 lite ipo jumia 470,000 ila inaweza patikana rahisi zaidi madukani
 
poa mkuu
 
Camera HD + Camera ya mbele, mtandao 3G, ina support whatsapp, youtube, instagram, inafungua PDF files,ina edit picture,nk .

Ninunue simu gani?
Ntakuuzia Tecno w 4 200000 mpya
Tecno y6 180000
Tecno l5 180000
Tecno y6 150000
 
Back
Top Bottom