Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,467
- 11,641
Naogopa nikimuacha sitapata mwenye yabia na mapenz kama yake
muoe sasa kama kumuacha unashindwa maana ni either umuoe au umuache, kama A imegoma fanya B
Naogopa nikimuacha sitapata mwenye yabia na mapenz kama yake
Napenda sana tabia zake ila tatzo ni mweusi na mm napenda wanawake weupe
Moyo hautak kumuacha, nafsi inasita kumuoa nahsi ntakua nataman sana weupe, nipo njia panda coz ni wife material sana.
Nishurin jaman nimuoe hata kama nafsi ipo nusu nusu kwake???

Hii yako Kali wakati unamfuata mwanzoni yeye Alikuwa na rangi gani?au wewe ulikuwa na vigezo gani Je Hicho cha rangi hakikuwepo tangu mwanzo? Mbona kuwasumbua wanawake jamani umempata ana Tabia inayofaa unatafuta excuse ya rangi mwisho dada wa watu ajiharibu rangi yake kisa utoto wako. Weupe utakutii?utajuheshimu?utakupikia,fulia na kukufanyia Mambo ambayo dada wa watu Anafanya Hebu kuwa mwanaume bwanaa agh!
nitafanyia kazi hiloJamani nimeimagine kabisa ukimlamba kofi, miss chagga kama unauwezo wa kumpata huyu mleta mada muongezee na Kofi langu
Acha kumpotezea mtoto wa watu muda wake kwani ni dhahiri humpendi. Ukiingia nae katika ndoa kwa huruma utamtesa kwani moyo wako hauwezi kuuwekea guarantee ya kubadilika na kumpenda. Mwache atapata mtu atakaempenda kwa dhati.Napenda sana tabia zake ila tatzo ni mweusi na mm napenda wanawake weupe
Moyo hautak kumuacha, nafsi inasita kumuoa nahsi ntakua nataman sana weupe, nipo njia panda coz ni wife material sana.
Nishurin jaman nimuoe hata kama nafsi ipo nusu nusu kwake???