USHAURI;Nimpeleke mwanangu St kayumba au English medium??

USHAURI;Nimpeleke mwanangu St kayumba au English medium??

Kama kipato kinakuruhusu tafuta shule nzuri peleka mtoto, wacha kumzoeza mtoto shida.Theory za akina Montessori zinataka watoto wasome kwenye mazingira wezeshi na vifaa vya kitosha ..muelimishe waifu wako hii haina mjadala shule uliyosoma wewe ubora ule haupo kwa sasa.

Pia ukumbuke msingi wa elimu ni primary school,wachana na watu wanaokuambia sijui primary aende kawaida alafu olevel private ....hiyo ni kumpa mental disturbance na akose consistency.Peleka mtoto shule kali kuanzia chekechea hadi chuo utaona matunda yake.Ila kama mazingira ya home ni poa mtoto asikae boarding...mimi ni mwalimu wa waalimu enzi hizo zilipokua elimu kwa shule za Umma inaeleweka, wachana na miluzi mingi inayopoteza mbwa njia!

Kupanga ni kuchagua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cha ziada katika shule za English medium ni lugha ya kiingereza kwamba mtoto atajua lugha faster, kama unambinu mbadala ya kumsaidia dogo kujua lugha nadhani st.kayumba ni bora kuriko English medium. Ila kwa shule za town za st.kayumba ziko poa zaidi.
 
Mkuu English Medium zina ladha yake, kama kipato kina ruhusu. I was born in medium standard of life, and my children [emoji1284] will be in higher standard of life.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom