USHAURI;Nimpeleke mwanangu St kayumba au English medium??

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
899
Reaction score
1,239
Nimekuwa na mkwaruzano na mama wa mtoto wangu juu ya elimu ya msingi ya kijana wangu atakayehitimu chekechea November.

Mimi natamani asome St Kayumba ili ajifunze nilivyojifunza mimi ili hata nkiondoka duniani aweze kujicontrol.

Miongoni mwa ninavyoamini St Kayumba ilivyonifunza ni;

-Sio kila mtu ana maisha mazuri wengine nliwaona wakija peku na wengine kaptura zimetoboka.

-Kurudishwa ada kumenifundisha kuna kupata na kukosa,hadi leo nakumbuka sura ya baba ya huzuni akiniona nimerudi saa nne kisa ada.

-Makande na mseto wa shule vimenifunza kuiheshimu njaa na kukithamini chakula,sijawahi kapewa lunch box.

-Kwenda kwa miguu kumenifundisha vya thamani haviji easy lazima jasho linitoke,sintokaa nisahau nafika shule nshanuka jasho na shati makwapa maji tupu.

-Kwenda na ufagio,vidumu, kudekishwa madarasa,kupewa eneo,namba vinanifundishaa responsibility eneo langu la kazi.

-Sijawahi kapewa hela ya shule kama wanavyopewa siku hizi,mama yangu aliamini siku angekosa ya kunipa ningeiba na pia aliogopa nikikosa matumizi ntanunua vilevi,GOD bless her.

Kuna vingi nimejifunza ila kila nikijaribu kumueleza mwenzangu anasema nina roho mbaya nataka nimtese dogo.Mimi nikishika kauli yangu kama ana akili atatoka mbona sisi tumetoka??

Napata lawama mpaka eti nina watoto wengine nnawasomesha academy kimya kimya huyu nataka mtesa.

Kama unachochote ulijifunza Kayumba share nikijue nimpe point au kama umetoka academy nipe point huenda nkabadili mawazo.

Naombeni ushauri nishike uzi wangu au nilegeze aende academy?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia uwezo wako kama utaweza kumsomesha primary kwa shule za English then mpeleke huko English Medium,sio aende halafu baadae utake kumpeleka kwa shule za kawaida,unatakiwa uwe na consistency,
 
Nimekuwa na mkwaruzano na mama wa mtoto wangu juu ya elimu ya msingi ya kijana wangu atakayehitimu chekechea November.

Mimi natamani asome St Kayumba ili ajifunze nilivyojifunza mimi ili hata nkiondoka duniani aweze kujicontrol.

Miongoni mwa ninavyoamini St Kayumba ilivyonifunza ni;

-Sio kila mtu ana maisha mazuri wengine nliwaona wakija peku na wengine kaptura zimetoboka.

-Kurudishwa ada kumenifundisha kuna kupata na kukosa,hadi leo nakumbuka sura ya baba ya huzuni akiniona nimerudi saa nne kisa ada.

-Makande na mseto wa shule vimenifunza kuiheshimu njaa na kukithamini chakula,sijawahi kapewa lunch box.

-Kwenda kwa miguu kumenifundisha vya thamani haviji easy lazima jasho linitoke,sintokaa nisahau nafika shule nshanuka jasho na shati makwapa maji tupu.

-Kwenda na ufagio,vidumu, kudekishwa madarasa,kupewa eneo,namba vinanifundishaa responsibility eneo langu la kazi.

-Sijawahi kapewa hela ya shule kama wanavyopewa siku hizi,mama yangu aliamini siku angekosa ya kunipa ningeiba na pia aliogopa nikikosa matumizi ntanunua vilevi,GOD bless her.

Kuna vingi nimejifunza ila kila nikijaribu kumueleza mwenzangu anasema nina roho mbaya nataka nimtese dogo.Mimi nikishika kauli yangu kama ana akili atatoka mbona sisi tumetoka??

Napata lawama mpaka eti nina watoto wengine nnawasomesha academy kimya kimya huyu nataka mtesa.

Kama unachochote ulijifunza Kayumba share nikijue nimpe point au kama umetoka academy nipe point huenda nkabadili mawazo.

Naombeni ushauri nishike uzi wangu au nilegeze aende academy?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpeleke dogo private
Mbona sisi tumesoma private toka primaly
Mkuu, faida moja wapo ya private,dogo atajua vizuri lugha ya malkia na hii itamsaidia kwenye ajira mbeleni
Afu kuna sehemu nimeona unasema wewe na mkeo mmetoboa ki maisha,mkuu kama una life zuri kidogo mbona unaweza mpeleka dogo tu private zipo za ada laki 6 kwa mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo unategemeana na mazingira yanayo kuzunguka na marafik wako ....wenye wapo kwenye level zipi......ila kwa mm mtoto huwa anakomaa kiakiri harak akipelekwa st kayumba ila angaria iliopo mazingira bora ...akimaliza primary labda ndo mpeleke shule yakueleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha fikra hizo,huko ni kumtesa tu dogo
Mbona hata private dogo ata ji socialise na wenzie
Tatizo wazazi wengi hua mna fikra kuwa private watoto wanalelewa vibaya HAPANA
yani unakubali mwanao akakae kwenye ma vumbi huko akati una uwezo wa kumpeleka kwenye AC !!!
Atoke huko hajui english

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpeleke dogo private
Mbona sisi tumesoma private toka primaly
Mkuu, faida moja wapo ya private,dogo atajua vizuri lugha ya malkia na hii itamsaidia kwenye ajira mbeleni
Afu kuna sehemu nimeona unasema wewe na mkeo mmetoboa ki maisha,mkuu kama una life zuri kidogo mbona unaweza mpeleka dogo tu private zipo za ada laki 6 kwa mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Wew acha hzo.....sijawahi kusoma private na nimefaulu mwanzo mwisho na yai naligonga kama kawaida...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una pesa usimtese mwanao kisa kujifunza maisha...kuna watoto wako private schools lakini wako smart kwenye maisha zaidi ya watoto wengi wa st kayunva

ONYO: usimuweke boarding akiwa shule ya msingi maana huko ndipo mashoga yanapoanzia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu siku zote naamini elimu ya msingi ndio ya muhimu zaidi hata ya chuo kikuu.

Pale ndipo mtu anapojengeka kiakili. Mpeleke mwanao katika shule inayotoa elimu nzuri ili aweze kujengeka. Akipata elimu bora ya msingi huko kwingine sijui o'level anateleza tu kama kambale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimpeleka kayumba jiandae kisaikolojia siku ukiambiwa kapata kipigo cha mbwa koko! kisa utakijua hapo hapo. USIMPELEKE
 
Nimekuwa na mkwaruzano na mama wa mtoto wangu juu ya elimu ya msingi ya kijana wangu atakayehitimu chekechea November.

Mimi natamani asome St Kayumba ili ajifunze nilivyojifunza mimi ili hata nkiondoka duniani aweze kujicontrol.

Miongoni mwa ninavyoamini St Kayumba ilivyonifunza ni;

-Sio kila mtu ana maisha mazuri wengine nliwaona wakija peku na wengine kaptura zimetoboka.

-Kurudishwa ada kumenifundisha kuna kupata na kukosa,hadi leo nakumbuka sura ya baba ya huzuni akiniona nimerudi saa nne kisa ada.

-Makande na mseto wa shule vimenifunza kuiheshimu njaa na kukithamini chakula,sijawahi kapewa lunch box.

-Kwenda kwa miguu kumenifundisha vya thamani haviji easy lazima jasho linitoke,sintokaa nisahau nafika shule nshanuka jasho na shati makwapa maji tupu.

-Kwenda na ufagio,vidumu, kudekishwa madarasa,kupewa eneo,namba vinanifundishaa responsibility eneo langu la kazi.

-Sijawahi kapewa hela ya shule kama wanavyopewa siku hizi,mama yangu aliamini siku angekosa ya kunipa ningeiba na pia aliogopa nikikosa matumizi ntanunua vilevi,GOD bless her.

Kuna vingi nimejifunza ila kila nikijaribu kumueleza mwenzangu anasema nina roho mbaya nataka nimtese dogo.Mimi nikishika kauli yangu kama ana akili atatoka mbona sisi tumetoka??

Napata lawama mpaka eti nina watoto wengine nnawasomesha academy kimya kimya huyu nataka mtesa.

Kama unachochote ulijifunza Kayumba share nikijue nimpe point au kama umetoka academy nipe point huenda nkabadili mawazo.

Naombeni ushauri nishike uzi wangu au nilegeze aende academy?

Sent using Jamii Forums mobile app
Peleka mtoto Academy katika ngazi ya Primary, O' to A, Level arudi Kayumba maana atakuwa amepata lugha ya kuanzia, nakumbuka nilipoenda form one, masomo yalikuwa kama yale yale ya darasa la saba ila lugha ndo ilikuwa shida,
 
Nimekuwa na mkwaruzano na mama wa mtoto wangu juu ya elimu ya msingi ya kijana wangu atakayehitimu chekechea November.

Mimi natamani asome St Kayumba ili ajifunze nilivyojifunza mimi ili hata nkiondoka duniani aweze kujicontrol.

Miongoni mwa ninavyoamini St Kayumba ilivyonifunza ni;

-Sio kila mtu ana maisha mazuri wengine nliwaona wakija peku na wengine kaptura zimetoboka.

-Kurudishwa ada kumenifundisha kuna kupata na kukosa,hadi leo nakumbuka sura ya baba ya huzuni akiniona nimerudi saa nne kisa ada.

-Makande na mseto wa shule vimenifunza kuiheshimu njaa na kukithamini chakula,sijawahi kapewa lunch box.

-Kwenda kwa miguu kumenifundisha vya thamani haviji easy lazima jasho linitoke,sintokaa nisahau nafika shule nshanuka jasho na shati makwapa maji tupu.

-Kwenda na ufagio,vidumu, kudekishwa madarasa,kupewa eneo,namba vinanifundishaa responsibility eneo langu la kazi.

-Sijawahi kapewa hela ya shule kama wanavyopewa siku hizi,mama yangu aliamini siku angekosa ya kunipa ningeiba na pia aliogopa nikikosa matumizi ntanunua vilevi,GOD bless her.

Kuna vingi nimejifunza ila kila nikijaribu kumueleza mwenzangu anasema nina roho mbaya nataka nimtese dogo.Mimi nikishika kauli yangu kama ana akili atatoka mbona sisi tumetoka??

Napata lawama mpaka eti nina watoto wengine nnawasomesha academy kimya kimya huyu nataka mtesa.

Kama unachochote ulijifunza Kayumba share nikijue nimpe point au kama umetoka academy nipe point huenda nkabadili mawazo.

Naombeni ushauri nishike uzi wangu au nilegeze aende academy?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka mtoto wako apate tabu ya kuongea kiingereza mpaka anafika chuo kikuu mpeleke Kayumba.

Ukitaka mtoto wako ajifunze tabia za ajabu ajabu mpeleke Kayumba.

Ukitaka mtoto wako umjengee uwezo wa kujiamini na uelewa mpana mpeleke english medium.

Ukitaka mtoto wako awe na nidhamu ya muda mpeleke english medium.

Ukitaka mtoto wako apate bora elimu kuliko elimu bora mpeleke Kayumba.

Ukitaka mtoto wako awe na msingi mzuri wa kutumia kompyuta mpeleke english medium.

Ukitaka mtoto wako apate channels nyingi za watu wenye mafanikio hapa nchini mpeleke english medium.

Haya sasa kazi kwako kuchambua pumba na mchele.
 
Back
Top Bottom