Tzhacker 000
JF-Expert Member
- Dec 11, 2017
- 659
- 690
- Thread starter
- #21
Nipe tuma humu +255Nikupe buku fasta
Nipe tuma humu +255Nikupe buku fasta
Unazingua bobNikupe buku fasta
Yeye kasema hajui thamani ya kazi ya mikono yake, unadhani tumsaidieje? Application haikotwi inakuwa designed Na akili nyingi Na muda hutumuka. Sasa ni mpumbavu tumsaidie apate akiliUnazingua bob
Habari wana JF, kama kichwa kisemavyo, mm ni developer, nimetengeneza app yangu ya kwanza kama majaribio
Haipo playstore na pia sina account humo, nimeiweka mediafire kwanza ndo mana natafuta ushauri mana wadau wameiona na wanaitaka
Nina mashaka na fikra zako.... Nikuulize swali?Yeye kasema hajui thamani ya kazi ya mikono yake, unadhani tumsaidieje? Application haikotwi inakuwa designed Na akili nyingi Na muda hutumuka. Sasa ni mpumbavu tumsaidie apate akili