Ushauri: Nimetengeneza app lakini sijui bei yake

Tzhacker 000

JF-Expert Member
Dec 11, 2017
658
686
Habari wana JF, kama kichwa kisemavyo, mm ni developer, nimetengeneza app yangu ya kwanza kama majaribio, lakini kuna watu wameipenda na wanataka niwauzie, lakini mimi sijui bei ya app, naombeni ushauri je niuze shilingi ngapi?

Unaweza kuona app yenyewe hapa Download

Bado sijaweka playstore mana sijui hatua za kufuata, naruhusu kunikosoa kama nimekosea ili nijue pa kuweka sawa.

NAWASILISHA KARIBUNI JAMVINI
 
Hiyo naskia ni kwa mara ya kwanza +85 ya kufungua account kama alivosema dream league hapo juu
Mimi waliniambia USD 25, nikasema Mimi siyo mzoefu wa namna ya kuweka katika mfumo wa apk, ndo wakasema watanisaidia bure namna ya kutengeneza apk na kuniwekea kwa USD 25.
Inawezekana sikuwauliza maswali vizuri mkuu
 
Labda sijaelewa......unaposema kuiuza unamaanisha unayemuuzia anachukua umiliki wa 100% yan inakuwa siyo yako tena.....Au uuzaji ule wa play store mana kuna kuna app zinauzwa lakini unaitumia tu pasi na kuimiliki...yan unalipia huduma.....Sijajua kwa wewe unalenga uuzaji UPI hasa
 
Haipo playstore na pia sina account humo, nimeiweka mediafire kwanza ndo mana natafuta ushauri mana wadau wameiona na wanaitaka
 
Back
Top Bottom