ushauri...nimetembea na wanaume wawilii!

ushauri...nimetembea na wanaume wawilii!

1academ

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
2,673
Reaction score
4,318
Mzuka wana JF

Habari Nina mdogo wangu katembea na wanaume wawili kwa siku moja kwa mda tofauti tofaut alafu alikuwa kwenye siku zake za Atari anauliza akipata mimba mtoto anaweza kufanana na wakwanz au wapili anaomba ushauri
 
🌹KUTOKA pm yangu humu j.f
mzuka wana j.f

habari Nina mdogo wangu katembea na wanaume wawili kwa siku moja kwa mda tofauti tofaut alafu alikuwa kwenye siku zake za Atari anauliza akipata mimba mtoto anaweza kufanana na wakwanz au wapili anaomba ushauli
View attachment 3319741

Yule wa kwanza ndo ana asilimia kubwa za kumpa mimba labda awe na shida tu huyo mwaume! Onyo: aache umalaya huo mara moja! bureeee kabisaaaa!
 
Screenshot_20250221-124946~2.jpg
 
Kweli Wanaume tumeanza kupoteza nguvu, yaani utembee na Mwanamke halafu apate nguvu za kwenda kutembea na Mwanaume mwingine 🙌

Inatakiwa akija kwako hakikisha unamwachia nguvu za kuvalia nguo tu 😜

Anyways, kujua Baba wa mtoto mwambie asubiri kuwapima DNA
 
Back
Top Bottom