anna mwakaringa
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 351
- 75
Duhh pole aiseeh ila sijui ushauri gani unaoutaka tena??
napita tuuuuuu
Mkuu Yugu pole kaka
Mtu mwenyewe hujamuoa unadhani atakosa viporo just in case ukizingua?? hapo mi simulaumu bidada aisee
hata hivyo acheni kuchunguzana simuni jamani
Wewe utakuwa na matatizo tena kama unampenzi ajiandae ukimwi utamuondoa,Ina-maana hujaona ukali wa hiyo massage ya whasap,yaani demu anatoa KAbAng?,hapana bwana just imagine mgongewaji kampa binti huyo mimba demu akienda kujifungua akawa anaporomosha makimba yake hovyo pale chumba cha uzazi manesi watamlaumu mchepuko ama huyu mwenye demu?!Tengua kauli yako fasta.
Hazbendi mbona unataka kuniadhiri....hesabu saa hizi
Endelea kukaa kimya hadi mwezo wa 6.....
How old are you?
Hahaha na ikifika mwezi wa tisa hajaona mimba aje tumshauri lol