igp
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 839
- 544
Kwani hayo yote uliyoyaona bado unahamu ya kuwa naye unamoyo kaka hongera.nashindwa nianzeje kunyoa
Kwani hayo yote uliyoyaona bado unahamu ya kuwa naye unamoyo kaka hongera.nashindwa nianzeje kunyoa
Muombe na we nyuma ulipe kisasi.... AF MPE talaka
mwezi wa 6 kisha nn kitafuatia,,,mbona ushauri wako haujakamilika mkuu
Kwani suala kama hili nalo unatakiwa kuomba ushauri kweli wanaume wengine mpoje jamani mnatutia aibu suala lipo wazi ni kuchukua hatua tu basi.
Endelea kukaa kimya hadi mwezo wa 6.....
Hazbendi mbona unataka kuniadhiri....hesabu saa hiziMwezi wa 6 ukijumlisha na miezi tisa inakuwa March au April??
hiyo mwenyewe imenikuta juzi. Sa saba y uck msg c nikalogwa isoma ye akiwa hoi n usingiz nikakutana na ULALE SALAMA MPENZ WANGU MWAAA!! mpk sasa sipo normal. Asubuh nilipomwuliz ananipa jibu rahisi eti ni rafik wa kawaida. Yapata miez miwil hiv huyo jamaa alipiga cm sa sita uck akapokea n mke wangu asipo na haya akanip cm eti ongea tu. Kwa kua namfaham huyo jamaa nanoa tu ngapa niingie kwa zuma