Ushauri: Nimeoa lakini simpendi mke wangu

Hii Valentine wengi huwa tunachwa ikipita ndo tunarudiwa tena.

Wewe waache watayamaliza.
 
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza,

Nikiwa kahama nilifanikiwa kukutana na mfanya biashara mwenzangu yeye amejikita zaidi kwenye Madini, katika kuzungumza ikafika usiku mimi nikamwambia ndugu yangu uende kwako tutaonana kesho akasema haendi kulala kwakwe nikapotezea mimi nikaenda zangu.

Ilipofika usiku wa saa Tisa Shemeji akanipia simu akauliza "Rafiki yako Bado yuko huko mbona hapokei simu!?" Nikamwambia Subil nakupigia lengo nimuulize jamaa aliko.

Kweli nikapiga simu nikamuuliza uko wapi akasema kuna sehemu amelala nikamwambia Shemeji ananiuliza uliko Sasa inakuwaje hujaenda kwako!? Majibu aliyonipa ndiyo yamenifanya nilete huu Uzi hapa.

Jamaa akasema "Kaka sikufichi Niko na mke wangu mwaka wa Tisa huu lakini SIMPENDI," nilishituka nikawaza amelewa au! Nikamwambia aje pale nilipofikia tuzungumze, kwel daika chache nasikia horn za gar nikatoka nje mlinzi akawa amefungua geti akaingiza gari ndani tukakaa nje kuzungumza.

Akasema tena kaka "SIMPENDI MKE WANGU" nataka unisaidie Sina aman ya kuwa nae nikawaza Cha kumshauri lakin nikasema Subil, nikachukua sim nikampigia Shemeji nikamwambia Niko na mme wako hapa ongea nae akaongea kidogo kwamba Kuna vitu Bado tunafatilia atakuja mke akasema Haina shida, hapo nawaza Cha kumshauri sipati.

Kwa kifupi huyu bwana ni tajiri tu mkubwa anaish kahama hapa Wana mtoto Mmoja na mke wake, nitaelezea muonekano wa mke wake, mke wake ni mfupi, katika kuzungumza akasema anataka atafute mwanamke mweupe mrefu mzuri anasema hapo roho yake itatulia.
Mimi nikamuuliza unauhakika ukipata mwanamke mweupe roho itatulia? Kwa kwel tumeongea mengi.

Sasa wazee wenzangu wenye busara nimshauri nn Rafiki yangu make mimi nilimwambia ukwel swla lako ni zito mbaya Zaid hata mwanamke huyo mweupe wa kuoa Hana Hadi atafute.

Sasa wataalam wa mahusiano nipeni Cha kumwambia mshikaji make anatia huruma Kuna muda unaongea nae mpaka machozi yanamtoka.
Kama humpendi ulioa wa nini? Fikiria. Ingekuwa naye ana mawazo kama yako, ungemshauri afanye nini? Kumbuka. Ndoa ni jambo la maisha.
 
Naombeni kitabu cha namna ya kudeal na maisha baada ya talaka/divorce.
 
Kwaiyo tukushauri nini? Umpende? Ukielewa nini maana ya neno mke utailewa umejitukana mwenyewe. Ni sawa na kuja hapa kusema upendo uso wako au mkono wako! Ulichagua mwenyewe pambana na hali yako.
 
Mkuu

Kama no ya kweli hayo

Mwambie asimwache!

Atafute mwingine wawe wawili mke mkubwa KWA mdogo!

Halafu aendelee nao wote kama kawaida!

Usimuache mke wa ujanani Bali ongeza mke mwingine!!!
 
Inashindikana nini kumwacha mtu usiyempenda, Hata kama mmezalisha malu na watoto haizuii kuachana. Amwachie nyumba na mtaji wa biashara kila mtu aishi maisha yake anayoyapenda, hakuna Sababu inayolazimisha muishi pamoja kama hampendani.
 
Ila wanaume mkishapata hela sijui huwa mnakuwa vipiii kabla hajawa tajiri alimpenda akamuoa sasa hivi kimebadilika nini
Hata wanawake kadiri wanavyopata pesa ndio wanavyozidi kua mbali na waume zao.
 
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza,

Nikiwa kahama nilifanikiwa kukutana na mfanya biashara mwenzangu yeye amejikita zaidi kwenye Madini, katika kuzungumza ikafika usiku mimi nikamwambia ndugu yangu uende kwako tutaonana kesho akasema haendi kulala kwakwe nikapotezea mimi nikaenda zangu.

Ilipofika usiku wa saa Tisa Shemeji akanipia simu akauliza "Rafiki yako Bado yuko huko mbona hapokei simu!?" Nikamwambia Subil nakupigia lengo nimuulize jamaa aliko.

Kweli nikapiga simu nikamuuliza uko wapi akasema kuna sehemu amelala nikamwambia Shemeji ananiuliza uliko Sasa inakuwaje hujaenda kwako!? Majibu aliyonipa ndiyo yamenifanya nilete huu Uzi hapa.

Jamaa akasema "Kaka sikufichi Niko na mke wangu mwaka wa Tisa huu lakini SIMPENDI," nilishituka nikawaza amelewa au! Nikamwambia aje pale nilipofikia tuzungumze, kwel daika chache nasikia horn za gar nikatoka nje mlinzi akawa amefungua geti akaingiza gari ndani tukakaa nje kuzungumza.

Akasema tena kaka "SIMPENDI MKE WANGU" nataka unisaidie Sina aman ya kuwa nae nikawaza Cha kumshauri lakin nikasema Subil, nikachukua sim nikampigia Shemeji nikamwambia Niko na mme wako hapa ongea nae akaongea kidogo kwamba Kuna vitu Bado tunafatilia atakuja mke akasema Haina shida, hapo nawaza Cha kumshauri sipati.

Kwa kifupi huyu bwana ni tajiri tu mkubwa anaish kahama hapa Wana mtoto Mmoja na mke wake, nitaelezea muonekano wa mke wake, mke wake ni mfupi, katika kuzungumza akasema anataka atafute mwanamke mweupe mrefu mzuri anasema hapo roho yake itatulia.

Mimi nikamuuliza unauhakika ukipata mwanamke mweupe roho itatulia? Kwa kwel tumeongea mengi.

Sasa wazee wenzangu wenye busara nimshauri nn Rafiki yangu make mimi nilimwambia ukwel swla lako ni zito mbaya Zaid hata mwanamke huyo mweupe wa kuoa Hana Hadi atafute.

Sasa wataalam wa mahusiano nipeni Cha kumwambia mshikaji make anatia huruma Kuna muda unaongea nae mpaka machozi yanamtoka.
Aaalah, yaan hakuna picha ya mke wake kabisa
 
Nimeshamjua huyo tajiri Hana lolote ni umalaya tu unamsumbua.Kama analalaga kwake haizid mara mbili Kwa wiki.
 
Tatizo matajiri wengi hufuata sana ushauri wa walozi
 
NAMNUKUU MWANA JF MMOJA
Nyumba ya mganga na nyumba ya Chifu haipungukiwi ni msemo wa wazee huo. Umemtibu mtu analeta shukrani kwa alichofanikiwa.
Sifa za Mganga wa kweli.
Mganga wa kweli hakutozi hela nyingi kuliko alivyopangiwa na mizimu iliyompa uganga maana uganga wa kweli lengo lake ni kusaidia jamii, unganga ni jadi na lengo lake ni kuisaidia jamii toka enzi na enzi ni bahati mbaya sana kuufanya uganga kuwa dili la kuwaibia watu, hii sio lengo la uganga kwa asili yake.

Uganga wa kweli mara nyingi ni ule unaotokana na kurithi toka kizazi mpaka kizazi sio ule wa kujifunza,ukanjanja, udii na ulozi wa kuwatupia watu mabalaa kwa lengo la waje uwatibu.

Mganga wa kweli lazima atakukurahishishia shida ulionayo na kama imemzidi uganga atakwambia au atakuposti kwa wajuaji zaidi wa shida yako (Waganga wanafahamiana kwa uwezo na nyanja kama walivyo walozi).

Mganga wa kweli atakutibu ili upone ndo akufaidi zaidi kwa shukrani na zawadi na uaminifu wako kwake na ndio faida ya uganga wa kweli. Huyu mganga hutamwacha kamwe kwenye kulingana na alivyotatua shida yako. Kuna jangiri alijeruhiwa na nyati porini nyati alivunja vunja miguu, yule mwamba wenzie walimbeba mpaka kijiji cha jirani huko Katavi kwa mganga. Mganga akawaambia wale wenzake mje mumchukue baada ya wiki tatu muache debe moja la unga. Wenzie waliporudi baada ya wiki 3 walikuta anatembelea fimbo na akapona mifupa na akarudi kwenye ujangiri wake na akipata mnyama lazima apeleke nyama kwa Mganga.

Onyo: Nazungumzia waganga wa kweli sio matapeli wa mjini na mapropesa.

Watu wanaibiwa na wanachanganya sana kati ya Ulozi, Ugagula, Uganga na Mazingaombwe, kiini macho.

MIMI NAANDIKA NA NINA MGANGA WA UHAKIKA
Kama mtu anataka mganga wa uhakika mganga wa Tanga aje pm ilaa aandae kunitumia 5000 Kwa akili ya connection.
Alisikika m Tanzania mmoja akisema Vibora vinagharama Quality is Expensive kama hutaki unataka cheap chukua ya kwenye nguzo utapeliwe.
Nikimtapeli mtu anireport nipigie life ban
Karibuni PM/DM
Tatizo kubwa ni usumbufu wawatu
Kuja dm na kukimbia
kuuliza maswali yasiyona kichwa
waulizeni wenzenu niliowapa namba jinsi wamefanikiwa kimaisha.
watu wanaamini uganga hausaidii watu asikudanganye mtu waganga uzunguni ni matajiri sana kama unataka uamini
Ingia TikTok Kuna jamaaa anaitwa DANIEL MACDONALD anaulizaga wazungu matajiri what do you do for a living wengi ni waganga na wale dream tellers watafsiri wa ndoto na conclude
 
Back
Top Bottom