Je aliowa wakati hana hera, au baada ya kupata hera?Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza
Nikiwa kahama nilifanikiwa kukutana na mfanya biashara mwenzangu yeye amejikita zaidi kwenye Madini, katika kuzungumza ikafika usiku mm nikamwambia ndugu yangu uende kwako tutaonana kesho akasema haendi kulala kwakwe nikapotezea mm nikaenda zangu.
Ilipofika usiku wa saa Tisa Shemeji akanipia simu akauliza "Rafiki yako Bado yuko huko mbona hapokei sim!?" Nikamwambia Subil nakupigia lengo nimuulize jamaa aliko.
Kweli nikapiga simu nikamuuliza uko wapi akasema kuna sehemu amelala nikamwambia Shemeji ananiuliza uliko Sasa inakuwaje hujaenda kwako!?
Majibu aliyonipa ndiyo yamenifanya nilete huu Uzi hapa
Jamaa akasema "Kaka sikufichi Niko na mke wangu mwaka wa Tisa huu lakini SIMPENDI" nilishituka nikawaza amelewa au!! Nikamwambia aje pale nilipofikia tuzungumze, kwel daika chache nasikia horn za gar nikatoka nje mlinzi akawa amefungua geti akaingiza gari ndani tukakaa nje kuzungumza.
Akasema tena kaka "SIMPENDI MKE WANGU" nataka unisaidie Sina aman ya kuwa nae nikawaza Cha kumshauri lakin nikasema Subil, nikachukua sim nikampigia Shemeji nikamwambia Niko na mme wako hapa ongea nae akaongea kidogo kwamba Kuna vitu Bado tunafatilia atakuja mke akasema Haina shida, hapo nawaza Cha kumshauri sipati
Kwa kifupi huyu bwana ni tajiri tu mkubwa anaish kahama hapa Wana mtoto Mmoja na mke wake, nitaelezea muonekano wa mke wake, mke wake ni mfupi, katika kuzungumza akasema anataka atafute mwanamke mweupe mrefu mzuri anasema hapo roho yake itatulia
Mm nikamuuliza unauhakika ukipata mwanamke mweupe roho itatulia!?
kwa kwel tumeongea mengi.
Sasa wazee wenzangu wenye busara nimshauri nn Rafiki yangu make mm nilimwambia ukwel swla lako ni zito mbaya Zaid hata mwanamke huyo mweupe wa kuoa Hana Hadi atafute
Sasa wataalam wa mahusiano nipeni Cha kumwambia mshikaji make anatia huruma Kuna muda unaongea nae mpaka machozi yanamtoka.
Kumbe Ni wale wale kina mpwayungu Bora Tena mpwayungu mnk analeta nyuzi konkiHivi wewe hauchoki kila siku kuanzisha thread?
Ngoja apigwe tukio.Hii mbaya Sana kumuacha mke uliyesota nae ndio baraka YAKO,wengi waliofanya hivyo waliambulia vilio.Ila wanaume mkishapata hela sijui huwa mnakuwa vipiii kabla hajawa tajiri alimpenda akamuoa sasa hivi kimebadilika nini
Hawaelewi hili, mafanikio yeyeto uyapatayo kwenye ndoa chanzo ni baraka za mke uliye nae.Kwanza hakuna uhusiano kati ya mapenzi ya kweli na utajiri, isipokuwa upo uhusiano wa utajiri na ukahaba....
Msaidie jamaa yako kwa kumweleza kuwa hawala huleta mikosi, mke huleta baraka na kuwa dhambi kubwa isiyosameheka kwenye ndoa ni uzinzi!
Kama hujaoa,mu-overtake huyo jamaa yako. Yaelekea mkewe ni wife material sanaKama kichwa Cha habari kinavyojieleza,
Nikiwa kahama nilifanikiwa kukutana na mfanya biashara mwenzangu yeye amejikita zaidi kwenye Madini, katika kuzungumza ikafika usiku mimi nikamwambia ndugu yangu uende kwako tutaonana kesho akasema haendi kulala kwakwe nikapotezea mimi nikaenda zangu.
Ilipofika usiku wa saa Tisa Shemeji akanipia simu akauliza "Rafiki yako Bado yuko huko mbona hapokei simu!?" Nikamwambia Subil nakupigia lengo nimuulize jamaa aliko.
Kweli nikapiga simu nikamuuliza uko wapi akasema kuna sehemu amelala nikamwambia Shemeji ananiuliza uliko Sasa inakuwaje hujaenda kwako!? Majibu aliyonipa ndiyo yamenifanya nilete huu Uzi hapa.
Jamaa akasema "Kaka sikufichi Niko na mke wangu mwaka wa Tisa huu lakini SIMPENDI," nilishituka nikawaza amelewa au! Nikamwambia aje pale nilipofikia tuzungumze, kwel daika chache nasikia horn za gar nikatoka nje mlinzi akawa amefungua geti akaingiza gari ndani tukakaa nje kuzungumza.
Akasema tena kaka "SIMPENDI MKE WANGU" nataka unisaidie Sina aman ya kuwa nae nikawaza Cha kumshauri lakin nikasema Subil, nikachukua sim nikampigia Shemeji nikamwambia Niko na mme wako hapa ongea nae akaongea kidogo kwamba Kuna vitu Bado tunafatilia atakuja mke akasema Haina shida, hapo nawaza Cha kumshauri sipati.
Kwa kifupi huyu bwana ni tajiri tu mkubwa anaish kahama hapa Wana mtoto Mmoja na mke wake, nitaelezea muonekano wa mke wake, mke wake ni mfupi, katika kuzungumza akasema anataka atafute mwanamke mweupe mrefu mzuri anasema hapo roho yake itatulia.
Mimi nikamuuliza unauhakika ukipata mwanamke mweupe roho itatulia? Kwa kwel tumeongea mengi.
Sasa wazee wenzangu wenye busara nimshauri nn Rafiki yangu make mimi nilimwambia ukwel swla lako ni zito mbaya Zaid hata mwanamke huyo mweupe wa kuoa Hana Hadi atafute.
Sasa wataalam wa mahusiano nipeni Cha kumwambia mshikaji make anatia huruma Kuna muda unaongea nae mpaka machozi yanamtoka.
Maswali ya msingi wakati anamuoa alikua anahela au Hana na kama alikua nazo poa Ila kama hakua na pesa akimuacha huyo mwanamke ndio anguko lake lilipoKama kichwa Cha habari kinavyojieleza,
Nikiwa kahama nilifanikiwa kukutana na mfanya biashara mwenzangu yeye amejikita zaidi kwenye Madini, katika kuzungumza ikafika usiku mimi nikamwambia ndugu yangu uende kwako tutaonana kesho akasema haendi kulala kwakwe nikapotezea mimi nikaenda zangu.
Ilipofika usiku wa saa Tisa Shemeji akanipia simu akauliza "Rafiki yako Bado yuko huko mbona hapokei simu!?" Nikamwambia Subil nakupigia lengo nimuulize jamaa aliko.
Kweli nikapiga simu nikamuuliza uko wapi akasema kuna sehemu amelala nikamwambia Shemeji ananiuliza uliko Sasa inakuwaje hujaenda kwako!? Majibu aliyonipa ndiyo yamenifanya nilete huu Uzi hapa.
Jamaa akasema "Kaka sikufichi Niko na mke wangu mwaka wa Tisa huu lakini SIMPENDI," nilishituka nikawaza amelewa au! Nikamwambia aje pale nilipofikia tuzungumze, kwel daika chache nasikia horn za gar nikatoka nje mlinzi akawa amefungua geti akaingiza gari ndani tukakaa nje kuzungumza.
Akasema tena kaka "SIMPENDI MKE WANGU" nataka unisaidie Sina aman ya kuwa nae nikawaza Cha kumshauri lakin nikasema Subil, nikachukua sim nikampigia Shemeji nikamwambia Niko na mme wako hapa ongea nae akaongea kidogo kwamba Kuna vitu Bado tunafatilia atakuja mke akasema Haina shida, hapo nawaza Cha kumshauri sipati.
Kwa kifupi huyu bwana ni tajiri tu mkubwa anaish kahama hapa Wana mtoto Mmoja na mke wake, nitaelezea muonekano wa mke wake, mke wake ni mfupi, katika kuzungumza akasema anataka atafute mwanamke mweupe mrefu mzuri anasema hapo roho yake itatulia.
Mimi nikamuuliza unauhakika ukipata mwanamke mweupe roho itatulia? Kwa kwel tumeongea mengi.
Sasa wazee wenzangu wenye busara nimshauri nn Rafiki yangu make mimi nilimwambia ukwel swla lako ni zito mbaya Zaid hata mwanamke huyo mweupe wa kuoa Hana Hadi atafute.
Sasa wataalam wa mahusiano nipeni Cha kumwambia mshikaji make anatia huruma Kuna muda unaongea nae mpaka machozi yanamtoka.
Ndoa ni utapeli kataa ndoaKama kichwa Cha habari kinavyojieleza,

Bora kutokuwa na pesa kuliko kukosa akili,,jamaa ni mjinga sijaona.Ila wanaume mkishapata hela sijui huwa mnakuwa vipiii kabla hajawa tajiri alimpenda akamuoa sasa hivi kimebadilika nini
Badili #Id yako tafadhali, hakuna uhalisia wa Big thinker na mawazo yako 😔Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza,