Ushauri: Nimeoa lakini simpendi mke wangu

Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza,

Nikiwa kahama nilifanikiwa kukutana na mfanya biashara mwenzangu yeye amejikita zaidi kwenye Madini, katika kuzungumza ikafika usiku mimi nikamwambia ndugu yangu uende kwako tutaonana kesho akasema haendi kulala kwakwe nikapotezea mimi nikaenda zangu.

Ilipofika usiku wa saa Tisa Shemeji akanipia simu akauliza "Rafiki yako Bado yuko huko mbona hapokei simu!?" Nikamwambia Subil nakupigia lengo nimuulize jamaa aliko.

Kweli nikapiga simu nikamuuliza uko wapi akasema kuna sehemu amelala nikamwambia Shemeji ananiuliza uliko Sasa inakuwaje hujaenda kwako!? Majibu aliyonipa ndiyo yamenifanya nilete huu Uzi hapa.

Jamaa akasema "Kaka sikufichi Niko na mke wangu mwaka wa Tisa huu lakini SIMPENDI," nilishituka nikawaza amelewa au! Nikamwambia aje pale nilipofikia tuzungumze, kwel daika chache nasikia horn za gar nikatoka nje mlinzi akawa amefungua geti akaingiza gari ndani tukakaa nje kuzungumza.

Akasema tena kaka "SIMPENDI MKE WANGU" nataka unisaidie Sina aman ya kuwa nae nikawaza Cha kumshauri lakin nikasema Subil, nikachukua sim nikampigia Shemeji nikamwambia Niko na mme wako hapa ongea nae akaongea kidogo kwamba Kuna vitu Bado tunafatilia atakuja mke akasema Haina shida, hapo nawaza Cha kumshauri sipati.

Kwa kifupi huyu bwana ni tajiri tu mkubwa anaish kahama hapa Wana mtoto Mmoja na mke wake, nitaelezea muonekano wa mke wake, mke wake ni mfupi, katika kuzungumza akasema anataka atafute mwanamke mweupe mrefu mzuri anasema hapo roho yake itatulia.

Mimi nikamuuliza unauhakika ukipata mwanamke mweupe roho itatulia? Kwa kwel tumeongea mengi.

Sasa wazee wenzangu wenye busara nimshauri nn Rafiki yangu make mimi nilimwambia ukwel swla lako ni zito mbaya Zaid hata mwanamke huyo mweupe wa kuoa Hana Hadi atafute.

Sasa wataalam wa mahusiano nipeni Cha kumwambia mshikaji make anatia huruma Kuna muda unaongea nae mpaka machozi yanamtoka.
Mwambie akijaribu kumuacha huyo mwanamke na kuoa mwanamke mwingine,ndiyo mwisho wa biashara zake(atafirisika) na maisha yake ya heshima yataishia hapo.Huyo aliyemuoa ndiye anayefanana naye.Mungu alimpa msaidizi wa kufanana naye (mwanzo 2:18)
Ni agizo la Mungu kumfurahia mke wa ujana wako(Mith 5:18); Mungu anakuona unavyoanza kumzingu mke wa ujana (Malaki 2:14).Hivyo hata nyamaza kimya. Atampata huyo mwenye mrefu mweupe halafu ndiyo haribu furaha yake na kumpeleka kaburini chapu.
 
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza,

Nikiwa kahama nilifanikiwa kukutana na mfanya biashara mwenzangu yeye amejikita zaidi kwenye Madini, katika kuzungumza ikafika usiku mimi nikamwambia ndugu yangu uende kwako tutaonana kesho akasema haendi kulala kwakwe nikapotezea mimi nikaenda zangu.

Ilipofika usiku wa saa Tisa Shemeji akanipia simu akauliza "Rafiki yako Bado yuko huko mbona hapokei simu!?" Nikamwambia Subil nakupigia lengo nimuulize jamaa aliko.

Kweli nikapiga simu nikamuuliza uko wapi akasema kuna sehemu amelala nikamwambia Shemeji ananiuliza uliko Sasa inakuwaje hujaenda kwako!? Majibu aliyonipa ndiyo yamenifanya nilete huu Uzi hapa.

Jamaa akasema "Kaka sikufichi Niko na mke wangu mwaka wa Tisa huu lakini SIMPENDI," nilishituka nikawaza amelewa au! Nikamwambia aje pale nilipofikia tuzungumze, kwel daika chache nasikia horn za gar nikatoka nje mlinzi akawa amefungua geti akaingiza gari ndani tukakaa nje kuzungumza.

Akasema tena kaka "SIMPENDI MKE WANGU" nataka unisaidie Sina aman ya kuwa nae nikawaza Cha kumshauri lakin nikasema Subil, nikachukua sim nikampigia Shemeji nikamwambia Niko na mme wako hapa ongea nae akaongea kidogo kwamba Kuna vitu Bado tunafatilia atakuja mke akasema Haina shida, hapo nawaza Cha kumshauri sipati.

Kwa kifupi huyu bwana ni tajiri tu mkubwa anaish kahama hapa Wana mtoto Mmoja na mke wake, nitaelezea muonekano wa mke wake, mke wake ni mfupi, katika kuzungumza akasema anataka atafute mwanamke mweupe mrefu mzuri anasema hapo roho yake itatulia.

Mimi nikamuuliza unauhakika ukipata mwanamke mweupe roho itatulia? Kwa kwel tumeongea mengi.

Sasa wazee wenzangu wenye busara nimshauri nn Rafiki yangu make mimi nilimwambia ukwel swla lako ni zito mbaya Zaid hata mwanamke huyo mweupe wa kuoa Hana Hadi atafute.

Sasa wataalam wa mahusiano nipeni Cha kumwambia mshikaji make anatia huruma Kuna muda unaongea nae mpaka machozi yanamtoka.
Atafute mchepuko mweupe mrefu. Awe anampenda mke wake asiwe anampenda aendelee kumpa heshima kubwa.
 
atamkumbuka cku hela ikikata.
 
Utamaliza mabucha nyama ile ile inazidiana ukubwa tu
Weeeee...nani kakudanganya nyama ni tofauti sana. Kila bucha lina nyama yake.
Mabucha mengine yana sungura mengine mbuzi mengine ngombe afu kuna yale yenye kuku na kitimoto.
 
Aya endelea kuishi humo
 
Huyo anakupenda wewe sasa we mpe ndo utajua kama hampendi mkewe
 
Kosa kubwa ulilofanya ni kuoa. Umetapeliwa. Kwa usalama wa afya yako kiakili, kiroho na kimwili, achana kabisa na mambo ya kuoa.
 
Kabla ya kumpenda mwanamke hakikisha hauna nyege kwanza
 
Kataa ndoa ndoa ni ujinga kwa dunia ya sasa
 
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza,

Nikiwa kahama nilifanikiwa kukutana na mfanya biashara mwenzangu yeye amejikita zaidi kwenye Madini, katika kuzungumza ikafika usiku mimi nikamwambia ndugu yangu uende kwako tutaonana kesho akasema haendi kulala kwakwe nikapotezea mimi nikaenda zangu.

Ilipofika usiku wa saa Tisa Shemeji akanipia simu akauliza "Rafiki yako Bado yuko huko mbona hapokei simu!?" Nikamwambia Subil nakupigia lengo nimuulize jamaa aliko.

Kweli nikapiga simu nikamuuliza uko wapi akasema kuna sehemu amelala nikamwambia Shemeji ananiuliza uliko Sasa inakuwaje hujaenda kwako!? Majibu aliyonipa ndiyo yamenifanya nilete huu Uzi hapa.

Jamaa akasema "Kaka sikufichi Niko na mke wangu mwaka wa Tisa huu lakini SIMPENDI," nilishituka nikawaza amelewa au! Nikamwambia aje pale nilipofikia tuzungumze, kwel daika chache nasikia horn za gar nikatoka nje mlinzi akawa amefungua geti akaingiza gari ndani tukakaa nje kuzungumza.

Akasema tena kaka "SIMPENDI MKE WANGU" nataka unisaidie Sina aman ya kuwa nae nikawaza Cha kumshauri lakin nikasema Subil, nikachukua sim nikampigia Shemeji nikamwambia Niko na mme wako hapa ongea nae akaongea kidogo kwamba Kuna vitu Bado tunafatilia atakuja mke akasema Haina shida, hapo nawaza Cha kumshauri sipati.

Kwa kifupi huyu bwana ni tajiri tu mkubwa anaish kahama hapa Wana mtoto Mmoja na mke wake, nitaelezea muonekano wa mke wake, mke wake ni mfupi, katika kuzungumza akasema anataka atafute mwanamke mweupe mrefu mzuri anasema hapo roho yake itatulia.

Mimi nikamuuliza unauhakika ukipata mwanamke mweupe roho itatulia? Kwa kwel tumeongea mengi.

Sasa wazee wenzangu wenye busara nimshauri nn Rafiki yangu make mimi nilimwambia ukwel swla lako ni zito mbaya Zaid hata mwanamke huyo mweupe wa kuoa Hana Hadi atafute.

Sasa wataalam wa mahusiano nipeni Cha kumwambia mshikaji make anatia huruma Kuna muda unaongea nae mpaka machozi yanamtoka.
Swali ulilomuuliza ni zuri, mana anaweza kumpata uyo mweupe mrefu alafu kesho akajikuta anataka mweupe mfupi.
Mshauri wapeane mapumziko (sio kumuacha)kwanza na mke wake, ili aone kama anamuhitaji au la, au ni hamu tu za mwili.
Wamekaa muda mrefu na itakua na madhara makubwa kama wakitengana, ila kama hana furaha kweli basi afanye maamuzi magumu.
 
No mara wa zei sei mwambie jamaa apige chini

Maana sidhani kwa kuendelea kumvumilia ndo ataepuka kwenda motoni jehanam
 
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza,

Nikiwa kahama nilifanikiwa kukutana na mfanya biashara mwenzangu yeye amejikita zaidi kwenye Madini, katika kuzungumza ikafika usiku mimi nikamwambia ndugu yangu uende kwako tutaonana kesho akasema haendi kulala kwakwe nikapotezea mimi nikaenda zangu.

Ilipofika usiku wa saa Tisa Shemeji akanipia simu akauliza "Rafiki yako Bado yuko huko mbona hapokei simu!?" Nikamwambia Subil nakupigia lengo nimuulize jamaa aliko.

Kweli nikapiga simu nikamuuliza uko wapi akasema kuna sehemu amelala nikamwambia Shemeji ananiuliza uliko Sasa inakuwaje hujaenda kwako!? Majibu aliyonipa ndiyo yamenifanya nilete huu Uzi hapa.

Jamaa akasema "Kaka sikufichi Niko na mke wangu mwaka wa Tisa huu lakini SIMPENDI," nilishituka nikawaza amelewa au! Nikamwambia aje pale nilipofikia tuzungumze, kwel daika chache nasikia horn za gar nikatoka nje mlinzi akawa amefungua geti akaingiza gari ndani tukakaa nje kuzungumza.

Akasema tena kaka "SIMPENDI MKE WANGU" nataka unisaidie Sina aman ya kuwa nae nikawaza Cha kumshauri lakin nikasema Subil, nikachukua sim nikampigia Shemeji nikamwambia Niko na mme wako hapa ongea nae akaongea kidogo kwamba Kuna vitu Bado tunafatilia atakuja mke akasema Haina shida, hapo nawaza Cha kumshauri sipati.

Kwa kifupi huyu bwana ni tajiri tu mkubwa anaish kahama hapa Wana mtoto Mmoja na mke wake, nitaelezea muonekano wa mke wake, mke wake ni mfupi, katika kuzungumza akasema anataka atafute mwanamke mweupe mrefu mzuri anasema hapo roho yake itatulia.

Mimi nikamuuliza unauhakika ukipata mwanamke mweupe roho itatulia? Kwa kwel tumeongea mengi.

Sasa wazee wenzangu wenye busara nimshauri nn Rafiki yangu make mimi nilimwambia ukwel swla lako ni zito mbaya Zaid hata mwanamke huyo mweupe wa kuoa Hana Hadi atafute.

Sasa wataalam wa mahusiano nipeni Cha kumwambia mshikaji make anatia huruma Kuna muda unaongea nae mpaka machozi yanamtoka.
Huyo kavuka mipika sasa pamoja na utoto unamsumbua!

Mwanamke hata awe mzuri namna gani kwako kihisia kwa jinsi ulivyompata mwanzoni , lakini unapokaa naye miaka mingi, mvuto wake kwako hupungua pole pole na baadaye kuwa kama dada ndugu!

Na mkishazaa watoto wengi sasa, ndiyo anakuwa ni ndugu kihisia kabisaa!

Pia katika maisha hatuangalii mvuto pekee, tunaangalia impact zingine zenye manufaa katika maisha yenu, mfano upendo, watoto, heshima na mambo mengine kibao ambayo siwezi kuyaeleza yote hapa.

Sasa huyo jamaa yako hampendi mkewe katika "angle" gani?

Kwa kuwa kaamua kukushirikisha jambo hilo, basi umhoji akueleze kamchoka chokaje mkewe na kwa mapungufu gani ili uje hapa tuone namna ya kufanya.

Angalizo: isije ukawa ni wewe ndiye mhusika wa hii stori umeileta ki third party halafu unaturukisha kichura chura siye mkuu!

Ebbhana, tafadhali sana!
 
Back
Top Bottom