GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 5,339
- 11,880
Bora huyo anagoogle jinsi ya kumpenda mwanamke.Nimeishia kucheka tu...dah sawa bwana
BTW, mpe Elimu ya Jinsia huyo. Y
Bora huyo anagoogle jinsi ya kumpenda mwanamke.Nimeishia kucheka tu...dah sawa bwana
Waliofanikiwa Kuiruka nyeto hawafiki hata wawili humu ndani.
Jua tu ashaanza kutaman kurukiana kutokana na kuskia au kuona. Umemfuma Leo je unajua kaanza lini?
Maarifa ya nyeto huleta mnyetukaji.
Sawa sawaBora huyo anagoogle jinsi ya kumpenda mwanamke.
BTW, mpe Elimu ya Jinsia huyo. Y
😰Watoto wa watu ndo majaribioMwambie aache mwambie na madhara yake hata kama ni ya uongo(tumia uongo wenye faida)
Mlaze na dada wa kazi(beki tatu)
Una uhakika kama wanakuja wakiwa Bikra?😰Watoto wa watu ndo majaribio
Kwaajili ya nini hasa?Pole Sana mkuu!
Msaidie kwa kumpeleka kwa wanasaikolojia!!
kuacha nyeto ni kazYote sio sawa
Muache afurahie mwili wake maisha mafupi muachie starehe take hiyo ajitambue by the way me nilianza nikiwa 14 ila siku hizi sipigi maana nina hela PC kama zote
SawasawaUna uhakika kama wanakuja wakiwa Bikra?
Ni mtoto wa kaka yangu naishi nae hapa hasa kwa lengo la yeye kusoma maana mkoa nilipo una shule nyingi.
Darasa la nne hadi la tano alikuwa anasoma boarding, kwa sasa yupo kwangu anasoma day ya karibu std 6.
Ni mtoto mchangamfu, mcheshi, mpira anacheza na uwezo wa darasani si haba.
Leo nikiwa nataka niende kwenye shughuli zangu niliona bafuni kuna mvuke (huwa nawasha heater mara chache sana) nikawa nasikia maji ya bomba la mvua yanatoka ikiashiria kuna mtu anaoga, nikaenda room ya karibu ya dogo nikaona uniform zake bado zipo, nilichukia maana mda ulikuwa umeenda ni saa mbili kasoro na bado hajaenda shule.
Kuna namna naweza kufungua ule mlango wa bafu nayojua mimi hata mtu akiwa kajifungia.
Nilipofungua nikaona dogo kajilaza chali utadhani yupo kitandani, kafungulia maji ya bomba la mvua, zoezi linaloendelea anapanda na kushuka mnazi.
Nilistaajabu na kuhamaki nikiwa siamini nachokiona kwa mvulana mdogo kabisa kufanya hayo mambo.
Nilipozi pale kama sekunde 10 hivi natikisa kichwa, dogo kageukia ubavu kaficha aibu.
Nikaondoka bafuni hapo nikamwambia anikute sebleni, nikiwa sebleni nikafikiria nimtembezee kipigo hevi lakini nilipofikiria kitendo alichofanya kina undugu mzito sana na uraibu unaotesa hadi watu wazima nikatulia nisijue cha kufanya, niliondoka kwenda kwenye shughuli zangu.
Ingekuwa kwamba hajatandika kitanda, hajaosha vyombo, hasalimii, hajafua uniform, katukana, kapasua tv, n.k. haya makosa ni kuonya, kukaripia na bakora lakini hii ya leo ni tofauti, hapa tunazungumzia uraibu ambao unatutesa hadi watu wazima, sio rahisi kuuondoa kwa stiki ama kugombeza ama kukanya.
Naamini ha kwamba samaki ukimkunja akiwa mbichi ni rahisi kuliko akikauka, huyu bado ni mtoto na kuna chance ya kumuokoa mapema.
Nimefikia muafaka nikae nae chini nimueleweshe, Sasa naombeni ushauri wa namna gani naweza kumuelimisha huyu mtoto aache hii tabia ?
Naombeni techniques za kumshauri mtoto ambae bado hata uwezo wake wa kuielewa hii dunia bado upo chini nimueleweshe kwa urahisi kwamba anachofanya si sawa na aache, siwezi kumshauri kama mtu mzima inabidi uwe nimshauri kwa kuzingatia utoto wake.
Punyeto ina madhara makubwa, magazeti kama fema yaliwahi kuwapotosha vijana kwamba haina madhara, Leo hii hao vijana kutwa wanasumbuka kufatilia tiba ya matatizo yaliyowakumba.
Noma sanaAise ndio output ya vitabu vya "Diary of a Wimpy Kid"???
View attachment 2518186
View attachment 2518187
View attachment 2518188
Kujichua ni ukichaa fulani na ugonjwa wa akili na inapaswa kushughulikiwa kisaikolojia KABISA!!Kwaajili ya nini hasa?