USHAURI: Nimemkamata mtoto wa miaka 11 anajichua bafuni akiwa anajiandaa kwenda shule

Usimuadhibu moja fanya haya
moja muulize amejifunza wapi
mbili anamuda gani toka aanze kufanya hikokitu.

Tatu, tambua marafiki zake wa siku zote
nne nenda nae kituo cha afya ujue madhara alioyapata.

Tano mfundishe maana yake baada ya hapo muelkeze madhara yake hapo mwisho mwambie aache
 
Dogo yuko sahihi. Nyeto haina madhara.

Mwache apunguze nyege au unataka mpaka zihamie nyuma wenzake waje kumtatua rinda?

Kwa dogo wa kiume kupiga puli ni jambo la kawaida sana
sio kwli kuhusu hilo ni dhana ulio.nayo wewe linaepukika nasio wote wanajua haya ni kwa vijana wa mjini.ndio hiki kinatokea lakn vijijin.hakn
 
Bahati nzuri bado yupo kwenye umri uano rekebishika don't panic kaa nae mwambie nlikuona unafanya kitendo flani ambacho ni kibaya kwa afya ya uanaume wako pia ni dhambi mfundishe ayajue madhara yake iwe ni elimu endelevu pia nna uhakika kuna sehemu anapaata access ya kuangalia porn videos fanya juu chini uzimbe huo mwanya hizi tabia zilizo zuka mtaani za LGBT mizizi yake mikubwa imetoka huko
 
Ni mtoto wa kaka yangu naishi nae hapa hasa kwa lengo la yeye kusoma maana mkoa nilipo una shule nyingi.

Darasa la nne hadi la tano alikuwa anasoma boarding, kwa sasa yupo kwangu anasoma day ya karibu std 6.

Ni mtoto mchangamfu, mcheshi, mpira anacheza na uwezo wa darasani si haba.

Leo nikiwa nataka niende kwenye shughuli zangu niliona bafuni kuna mvuke (huwa nawasha heater mara chache sana) nikawa nasikia maji ya bomba la mvua yanatoka ikiashiria kuna mtu anaoga, nikaenda room ya karibu ya dogo nikaona uniform zake bado zipo, nilichukia maana mda ulikuwa umeenda ni saa mbili kasoro na bado hajaenda shule.

Kuna namna naweza kufungua ule mlango wa bafu nayojua mimi hata mtu akiwa kajifungia.

Nilipofungua nikaona dogo kajilaza chali utadhani yupo kitandani, kafungulia maji ya bomba la mvua, zoezi linaloendelea anapanda na kushuka mnazi.

nilistaajabu na kuhamaki nikiwa siamini nachokiona kwa mvulana mdogo kabisa kufanya hayo mambo.

Nilipozi pale kama sekunde 10 hivi natikisa kichwa, dogo kageukia ubavu kaficha aibu.

Nikaondoka bafuni hapo nikamwambia anikute sebleni, nikiwa sebleni nikafikiria nimtembezee kipigo hevi lakini nilipofikiria kitendo alichofanya kina undugu mzito sana na uraibu unaotesa hadi watu wazima nikatulia nisijue cha kufanya, niliondoka kwenda kwenye shughuli zangu.


Ingekuwa kwamba hajatandika kitanda, hajaosha vyombo, hasalimii, hajafua uniform, katukana, kapasua tv, n.k. haya makosa ni kuonya, kukaripia na bakora lakini hii ya leo ni tofauti, hapa tunazungumzia uraibu ambao unatutesa hadi watu wazima, sio rahisi kuuondoa kwa stiki ama kugombeza ama kukanya.

Naamini ha kwamba samaki ukimkunja akiwa mbichi ni rahisi kuliko akikauka, huyu bado ni mtoto na kuna chance ya kumuokoa mapema.

Nimefikia muafaka nikae nae chini nimueleweshe, Sasa naombeni ushauri wa namna gani naweza kumuelimisha huyu mtoto aache hii tabia ?

Naombeni techniques za kumshauri mtoto ambae bado hata uwezo wake wa kuielewa hii dunia bado upo chini nimueleweshe kwa urahisi kwamba anachofanya si sawa na aache, siwezi kumshauri kama mtu mzima inabidi uwe nimshauri kwa kuzingatia utoto wake.

Punyeto ina madhara makubwa, magazeti kama fema yaliwahi kuwapotosha vijana kwamba haina madhara, Leo hii hao vijana kutwa wanasumbuka kufatilia tiba ya matatizo yaliyowakumba.
Maombo muhimu hatua hii
 
Huenda amefanya pia mapenz ya jinsia moja mshauri sana watt weng wanafanya ivo asaiv
 
Kwa hali ilivyo sasa hivi, ni bora dogo ajiunge CHAPUTA kuliko kujiunga na wale jamaa wa upinde (LGBT).

Kadri umri unavyosogea, atataka kuhama kutoka CHAPUTA, then aanze kuzichapa Mbususu. Yuko kwenye njia sahihi, ni vile tu amewahi kuianza safari.

Namna pekee mtoto wa kiume anaweza kuharibika, ni kua punga. Huku kwingine kunazungumzika!


NB: mimi nilianza kula mbususu nikiwa na miaka 6, yani ile kibaba mama mimi sikuacha. Niliendelea nayo mpaka namaliza primary. Hata sikumbuki nilijifunzia wapi!
 
Inaumiza sana...kuna mtoto wa 13yrs akishika simu ya dada wa kazi anaingia google anasearch jinsi ya kumpenda mwanamke
Sasa hapo kinachoumiza ni kipi? Kwa jamii yetu ya kiafrika, mtoto wa kiume kufanya michezo na watoto wa kike ni kitu kizuri kabisa.

Subiri siku ukikuta anasearch jinsi ya kupenda wanaume wenzie, ndio utajua nini kinaumiza!


Kwani enzi zetu, barua za mapenzi tulikua tunaandika tukiwa na umri gani? Maana naona kama mnakuza mambo
 
Back
Top Bottom