Ushauri...nimekwama

Status
Not open for further replies.

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Kuna manzi nimekutana naye ofisi 1 town, nimem mind kwa mmego tu,

nimemuomba namba yake kwa kuzuga kuwa kuna huduma ningehitaji hapo ofisini kwao

akanipa ....mimi sasa ni domo zege sijui kabisa kupiga sound...

Nimepanga nimrushie kilo by tigo pesa ili nimlainishe ...

Wataalamu wa haya mambo, hii mbinu inaweza kunisaidia kufanikisha malengo??
 
hata hiyo twisheni itabid uilipie!!!!!!!!!!!
 
Duh, hizo pesa utakua hujazipata kwa njia halali Mpwa, yaani kweli kilo nzima unampa mtu suiemfahamu? Haya Mpe but ujue usipokaa vizuri yeye anaweza kukutumia kila kama tatu hivi...sasa sijui utasemaje
 
Inategemea na ulivo muona.
Kama ana fanana na laki uta mlegeza,ila kama ni wa >laki5 itakula kwako.
 
haya kaka boflo,naona kuna pm ya mtu unaiwinda humu mmu...all the best
 
U deserve to be BOFLOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Promo zingine bana,nways keep it up utawanasa tu chezea tygo pethaa!!!:yo:
 
Take care, sio kila dada mzuri ni mzuri, wengine wana "biology" za kiume pia, unaweza kupatana nae ukifika unakuta mambo siyo kabisa anasema akuanze wewe kwanza halafu wewe utamfaidi baadae
 
Boflo nilijua tu wewe ni wale waliokuwa wanabeba mabegi ya wenzao wakati wenzao wanacheza mpira enzi za primary.

Maneno mengi kutongoza huwezi.lol!

Mzee Mtambuzi njoo utoe shule kwa kijana the GUSTAVO STYLE!
 
Last edited by a moderator:
Acha usimtumie direct tuma kwangu mi nitamfikishia na taarifa kamili
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…