pole sana mkuu.........
Nakushauri,uwe na tabia ya kwenda kwenye mikusanyo ya watu ambayo ni mchanganyiko ..mfano matamasha,kanisani,mihadhara....au sehemu yoyote ambayo inajumuisha watu wote,au kampani ya wanawake.....ukiwazoea wanawake taratibu confidence yako itaongezeka na kuona ni watu kama wewe😛😛
second try to forgive yourself,i guess ulikua una uhusiano ulioishia pabaya kiasi cha kutuona sisi wanawake mazimwi😛😛😛😀😀😀😀,ishapita kila mtu na kurasa yake,WOTE tushapitia hayo unayopitia....................
Na kama ULISHUHUDIA,uhusiano mwanamke akimuumiza mwanaume wake kiasi cha kukuathiri kisaikolojia,again huo ulikua ukurasa wao,you have to open yours,
Lastly TAKE time to date a woman,inaonyesha unadhani ukimuapproch mwanamke then hapo hapo lazima muongee kuhusu ndoa,hii sio kweli rafiki,jipe muda kumjua mwanamke uliyemuapproach ,ukipata Confidence she is the one,ndio muongee kuhusu ndoa.................