Please kaka ni DMHauna hata NSSF? FAO la kujitoa bado halijapamba moto, chukua pesa biashara nyiiingi sana ila usiwe mtu Wa aibu kama wasomi wetu. Kuna jamaa humu ana mashine za kutengeneza mkaa,hii ni biashara ya uhakika unatoboa Mara moja.
Hauna hata NSSF? FAO la kujitoa bado halijapamba moto, chukua pesa biashara nyiiingi sana ila usiwe mtu Wa aibu kama wasomi wetu. Kuna jamaa humu ana mashine za kutengeneza mkaa,hii ni biashara ya uhakika unatoboa Mara moja.
Unatengeneza mkaa kwa takataka, nimefanya utafiti Wa haraka ukikomaa inalipa, nimecheki you tube Kenya kuna watu wametajirika kwa biashara hii. Search thread inasema: jinsi ya kutengeneza mkaaNaomba unielekeze hiyo mashine mkuu
Usiuze kwani kufukuzwa kazi siyo mwisho was maisha utapata shughuli na nyumba utamaliza kujengaAhsante sana ndgv yangu
Nenda bank ichukulie mkopo kapige kazi rejesha rejesho na sehem ya faida endelea kujenga taratibu..
Japo nako 50/50 ila kama una nia utatoboa
Ahsante sana tena sana kijana mwezangu kwa huu ushauri ambao umenipa na kunitia moyo kwa kunisisitiza piaUsiuze hata kidogo,
Iache kwa muda,tafuta shughuri ya kufanya,harafu weka paa nusu(kitaa tunaita slopu),hamia,
Chonde chonde usiuze ndugu yangu!!
Kauze upate mtaji acha maisha ya kutegemea binadamu jitegemee kwanza hiyo siyo nyumba ni kiwanja au tuite pagare sijawahi kuajiriwa sitegemei kuajiriawa nimejiajiri nakushauri ujiajiriNilianza ujenzi wa nyumba yangu ya vyumba 3, master bedroom 1, viwili vyoo vya ndani, jiko, sebule na choo. (nyumba bado sijaezeka)
Ila sasa nimekwama jinsi gani naweza kuimalizia na kwani sasa kazi nimefukuzwa.
Naomba ushauri nifanye nini ili niimalizie au Niiuze ili nifanye biashara kwa mtaa? Maana sioni njia ya kuweza kuimalizia kwa sasa na hata kwa baadae.View attachment 771252
Mkuu kodi zinatia uchizi, Bongo ukikosa Kodi unarudi kijijini fasta,ukiwa na banda lako unakomaa kimjini mjini, unaezeka chumba kimoja maisha yanaendelea.Kwanza kujenga tu ukiwa una uhakika wa kipato cha moja kwa moja its risk sana na risk yake ndio hii hapa jumba linageuka guest house...madogo wanazaliwa humo hadi wanajua jumba liko pale pale.
Hii mistake waafrika wengi tunaifanya unakuta mtu kajenga Nyumba ya milion 70 ya mkopo afu analipwa la laki mbili tu...huyu anakuwa deserving poor...ulaya na nchi zilizoendelea watu wanapanga kwa muda sana hadi wajenge zao hiyo milion 70..unaenda kuleta hela nyenzake.
Bongo heshima ni kuwa na kajumba wakati unachoingiza hakieleweki...imbecilic!
Kodi siku hizi easy tu na serikali ishasisitiza kulipia kodi kwa mwezi mmoja hamna kulipa kwa miezi 6 tena.Mkuu kodi zinatia uchizi, Bongo ukikosa Kodi unarudi kijijini fasta,ukiwa na banda lako unakomaa kimjini mjini, unaezeka chumba kimoja maisha yanaendelea.
unamaanisha nn ndugu, kwa "fao la kujitoa halipamba moto".Hauna hata NSSF? FAO la kujitoa bado halijapamba moto, chukua pesa biashara nyiiingi sana ila usiwe mtu Wa aibu kama wasomi wetu. Kuna jamaa humu ana mashine za kutengeneza mkaa,hii ni biashara ya uhakika unatoboa Mara moja.