Ushauri: Nimeitwa Polisi

Mengine nakubaliana na wewe, tena ikiwezekana kama ikiwezekana kama anajuana na wakili au mwanasheria yoyote aende nae. Lakini pia kuchati na mke wa mtu au hata kufanya nae mapenzi siyo kosa la jinai hivyo haiwezi kuwa sababu ya kuitwa kituo cha polisi, labda iwe kwenye kuchat mlitumiana picha za utupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni issue ya mke wa mtu ni kesi ndogo tu,ukipatkana na kosa utalipa fidia tu. Usiogope

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha!kumbe siku hizi Kuna criminal case za kumtafuna mke wa mtu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USHAURI wa bure jitahidi kuepuka majungu, matusi, kuandika au kusema kila unachoona kwako ni kizuri. Usipende kuwa na namba hiyohiyo miaka yooote. Badili badili namba zako.

Inafaida gani
Unapunguza watu wanaokufaham utakaa nao mbali

Utaanza na watu wa karibu yako na muhimi tuu

Utapunguza uwezekano wa waliopeana namba zako kukukosa si lazima usubiri dili kwa namba ya zamani.

Na mengine mengi.
 
Kama ni namba unaitumia kiofisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…