Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,049
Njia pekee ni kuhamia tabaka la juu.
Mmmh. Sio kirahisi hivo.Ndo ukamsaidie kuiondoa sasa [emoji12] [emoji12] [emoji40] [emoji125]
Njoo na buku 7 PM nikusaidieJamani wanabodi mimi nina tatizo moja,unakuta nimempenda msichana lakini nikitaka kumtongoza najikuta mimi mwenyewe kujiona niko tabaka la chini,na hivyo hupelekea kusitisha zoezi la kutaka kutongoza,hali hii imekuwa ikinisumbua mara kadhaa,je naweza kutoa fikra hizi akirini mwangu kwa njia hipi?
Nafikiri amepata kitu.Mmmh. Sio kirahisi hivo.
Pengine ana historia inayomfanya asijiamini kama yeye ni kidume haswa.
Pengine kuna maneno aliambiwa sana mpaka anahofu na hajiamini..
Wengine ni hali ya kutojiamini.
Wengine ni tatizo la kisaikolojia..
Wengine pengine waliona tukio Fulani ambao linamtia shaka yeye kukuamino na jinsia yake. Kuna mengi sana sio rahisi kwa jf,pengine akaonane na daktari wa saikolojia japokuwa wabongo hatunaga utaratibu huo.
May beNafikiri amepata kitu.
Sipigi punyeto.
Pamoja mkuu.Wasiwasi wako tu. Hamna kitu hao, wapo tabaka la chini zaid yako jiamin mtoto wa kiume
An ant on the move does more than a dozing ox.