Ushauri: Nikitaka kutongoza najiona nipo tabaka la chini, nasitisha

Ushauri: Nikitaka kutongoza najiona nipo tabaka la chini, nasitisha

tabaka la chini? ndo nn tena? kwa ye hanyi we unakunya??? watu bhanaa
 
Jamani wanabodi mimi nina tatizo moja,unakuta nimempenda msichana lakini nikitaka kumtongoza najikuta mimi mwenyewe kujiona niko tabaka la chini,na hivyo hupelekea kusitisha zoezi la kutaka kutongoza,hali hii imekuwa ikinisumbua mara kadhaa,je naweza kutoa fikra hizi akirini mwangu kwa njia hipi?

= akilini
Ungeandika skrini tungejua typing error...

nafight with my weather[emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom