my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Nataka kuwa photogenic nifanye nini ili niwe photogenic?
Msada please.
Msada please.
Kunywa sana "Photosynthesis"nataka kua photogenic nfanye nn ili nwe photogenic? msada pls
Nataka kuwa photogenic nifanye nini ili niwe photogenic?
Msada please.
Kunywa sana "Photosynthesis"
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Tupia picha yako tukuone kwanza sio unataka kuwa photogenic wakati unapua kubwa ka andazi afu imejaa mafuta hapana asee Pua inaharbug pcha
Kuna vitu vinchekesha sana ukiviwaza.....
Yani nimewaza, wewe ni mtu unaependa sana picha ila kila ukipiga sura inatokea kama kiazi, afu mwenyewe unaweka mapozi hatari ila mwisho wake picha inakua mbaya.
Ukipanga kupiga picha, wanaodandia wanatoka vizuri wewe unatokea kama ngedere nmejikuta nacheka.... Pole lakini
Tupia picha yako tukuone kwanza sio unataka kuwa photogenic wakati unapua kubwa ka andazi afu imejaa mafuta hapana asee Pua inaharbug pcha
😀😀😀😀😀😀😀pole sana ...ndo wewe hivi au? maana details kama personal