Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,948
- 13,378
Piga chini mzigo,mbona unatudhalilisha wanaume wenzako?
Nalog off
Nalog off
Funguka mkuu, walikuwa wanajibizana nini? Then ntakueleza mawazo yangu, kama ya busara yabebe, kama yatakuwa kimeo utayatema.
Mh! Hii stori tata, mwanamke akuonyeshe njemba lake lingine! Lazima kakugonga dawa mwana husikii wala huoni, na inaonyesha lazima utarudi kwake tu! Ila huyo demu lazima awe mrembo kinoma, msomali na mbulu! Mwe usimuache mkuu!