Ushauri ndugu zangu.

Ushauri ndugu zangu.

Habari kwenu waheshimiwa na msio waheshimiwa..!

Jana nilitoka out na mchumba wangu, Tulipo fika sehemu ambayo tulikua tumepanga kwenda kutembelea na yeye ndie alipachagua tuka mkuta Jamaa ambae alinitambulisha kua ni mme mdogo na mimi ni mme mkubwa. Yule mwenzangu alikasirika na kutaka kuanzisha ugomvi ila mimi nikawa mpole hadi tulipo rudi nyumbani na huyo mchumba wangu.. na hadi sasa hivi sijamuuliza kitu na sijarudi nyumbani toka asubuhi. Sijawasiliana nae kwasababu simu yangu niliiacha nyumbani. Ndugu zangu naomba mnishauri nimfanye nini huyu mtu juu ya hiki kitu alichonifanyia, Ukweli nina mpenda sana ingawa kwetu walimkataa kisa ya kabila lake kua mmbulu huku akichanganya damu ya kisomalia upande wa mama na mmbulu upande wa baba.

Hata mbayuwayu aliosema JK wanaweza wakajibu hili swali sembuse wewe binadamu
 
Kwa hiyo unaomba Ushauri? Kwani wee ofa ya kuwa mume mdogo huitaki? Subiri utambulisho mwingine unafuata
 
sijauliza kwasababu nina hasira na hua nakwepa sana kufanya maamuzi katika kipindi ambacho nakua nimekasilika na si kigezo cha kufanikisha yale ya ndugu.

hujauliza, hujaongea nae unataka umfanye nin? Au ndo kgezo cha kufanksha ya nduguzo?
 
Nafikiri kuachana sio suruhisho.. tayari nimedumu nae katika uchumba kwa miaka 4, tulikua tumeanza mipango ya ndoa.

Mh! Hii stori tata, mwanamke akuonyeshe njemba lake lingine! Lazima kakugonga dawa mwana husikii wala huoni, na inaonyesha lazima utarudi kwake tu! Ila huyo demu lazima awe mrembo kinoma, msomali na mbulu! Mwe usimuache mkuu!
 
Kuachana ghafla ghafla haito niletea picha nzuri, kwao wananifahamu kwetu ingawa walikua wana nipinga kua nae wana mfahamu pia, na jamaa wana mfahamu

Pole sana, kuna mmbulu mmoja alikutana na dereva wa lorry hakuridhika eti anatumbo nene, akahamia kwa dereva wa land rover mandolina, alichokisema ni kuwa (weka lafudhi ya kimbulu) "dhereva wa mandolina inajua mpaka naiambia badhirisha tundu usije ukanimimba bana" Kuna mwengine tena nikiwa chuo fulani alikuwa mzuri sana sasa kuna jamaa ake baada ya kuona anachukuliwa na wengine akamuuliza vipi mbona nasikia unawapa watu tu kama pipi, binti akamjibu (kama kawaida weka lafudhi yao) "Sasa yenyewe inataka mie nikatae" Kaka hapo umeumia na kakuona BUSHOKE
 
dah! sasa Je huyo hawara yako alipanga mkutane na hawara yake mwingine au imetokea tu...
 
Nimeishi kwa mda wa miaka minne, na mfahamu zaidi ya miaka sita. Kwao nawafahamu mimi pia kwetu anawafahamu.
Mkuu wanafahamiana na hilo halina ubishi
Mwana mke aliniomba tuondoke.
Nimeshindwa kuchukua maamuzi kwasababu bado nina hasira sana naweza nikachukua uamuzi na mie baadae uka nigharimu. Mbaya zaidi kuna watu wana subili niachane nae waanze kunisema. yani wajidai walikua watabili wa mapenzi yetu.

Nani kakuambia kachanganyana na msomali?wambulu wengi wanafanana na wasomali kwa sura,labda umedanganywa ili uone umepata mrembo,halafu isitoshe girls wa kimbulu hawajambo kuachia nyavu kama wahaya,inawezekana jamaa kashakula mzigo.
hebu waza reaction ya mchumba wako jamaa aliposema hivo ilikwaje?kama hawafahamiani kwanini jamaa ame-mind hivo???
 
mzee mi kwangu ni regular sex tu ..kisses, she suck, i go down there a little bit then sex after few minites la kwanza mapamziku la pili will take a little bit longer la tatu la nne kwisha . huwa sifanyi as if ni competition, i do it just for healthy

Kabaang vipi unampa? Maana it might be the one service missing
 
Wewe sasa unataka stress. Wambulu hawatanii kwenye masuala nyeti kama hayo. Jamaa anakula.
 
Kabaang vipi unampa? Maana it might be the one service missing

mi huwa najiuliza wazee hivi ni kweli hawa watoto wa siku izi wanapenda sana kabaang au unipe technique kiongozi mana kuna siku nilikuwa na demu wangu tu wa kuzugia (yani sio yule nayemchukulia wife) basi nikaomba kabaang dah mzee nilitolewa mkuku kama kibaka aliyekwapua simu ilikuwa ninyimwe na mechi zijazo ila tu utuuzima ukatumiika ndo mpaka leo tuko sawa ...
 
Yawezekana jamaa anakula au akawa anajazwa kichwa.
wambulu wana udhaifu wa kutolizika?

anajazwa kichwa ? wakati mtu ka mind kwa nini ye mume mdogo manake na yeye alikuwa anajua yuko peke yake na huo ndo uanaume sio wewe kuwa mpole wakati demu anakuona ---- mind unyesha roho inakuuma kumnunulia mtu kuku alafu anakuzingu kama hivyo kuwa mwanaume wa kweli mzee na hilo kabila linaudhaifu huo aise...yani tena kama we ni wa kabila tofauti jua kabisa lazima atakuwa na jamaa wa kabila lake yani sijui wakoje ..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom