Ushauri: Ndugu Wanataka Nimfunge Baba Yangu Mdogo

Ushauri: Ndugu Wanataka Nimfunge Baba Yangu Mdogo

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
5,913
Reaction score
1,217
Ni mme wa mama mdogo mchungaji wa kanisa la EAGT hapa Dar, Alimleta huyo mtoto amwendeleze kielimu akiwa na miaka 14 sasa ana 16 amezaa last week ni copy ya baba mdogo na amegoma kupima DNA na kuwa mkali ajabu.

Binamu anasisitiza kuwa ni yeye.

USHAURI PLZ.
 
kama analeta ubishi shirikisha vyombo vya dola, apelekwe kwa nguvu hospital kulinganisha DNA yake na ya mtoto.
 
Umepanic mkuu...ata akipima DNA, ata ukimfunga ukweli utabaki palepale kama ni mtoto wake atabaki hivyo...ni mambo ya familia inabidi muyamalize kwa maongezi tu
 
kama analeta ubishi shirikisha vyombo vya dola, apelekwe kwa nguvu hospital kulinganisha DNA yake na ya mtoto.

well noted mkuu huyu mchungaji ni mbishi na amekuwa mtata sana tumekaa vikao wa wazee tumekaa sana.
 
Umepanic mkuu...ata akipima DNA, ata ukimfunga ukweli utabaki palepale kama ni mtoto wake atabaki hivyo...ni mambo ya familia inabidi muyamalize kwa maongezi tu
hayo mambo huwa yanauma sana imagine angepewa mdogo wako au mwanao ungemuachia?
 
Umepanic mkuu...ata akipima DNA, ata ukimfunga ukweli utabaki palepale kama ni mtoto wake atabaki hivyo...ni mambo ya familia inabidi muyamalize kwa maongezi tu

mkuu yule mtoto na mwanae wanateseka hawana ishu
 
Toeni ripoti polisi....utaona jinsi mambo yatakavyo pelekwa.
 
Sasa unatakaje yaani? Si uende kwenye mamlaka husika

mkuu mama yangu mdogo baada ya kujua kuwa ninafuatili akanipigia cm nimuone akaja analia et mmewe akifugwa itakuwaje nikapatwa na huruma nipo njia panda
 
Kwan bfore hamkuwah kuhisi chochot kuhusu hao watu

kumbuka ni ishu ya mwaka na alikuwa anaishnaye mpaka mjomba alipokuwa mkali baada ya kusikia mwanae hasomi shule akanituma nimfatilie nikamsafirisha mm sikujua
 
Yabidi akubali kuwa huyo mtoto n wake na mumbane na huyo mama mtoto aseme baba wa mtoto.
 
Yabidi akubali kuwa huyo mtoto n wake na mumbane na huyo mama mtoto aseme baba wa mtoto.

amekataa kupima dna mama wa mtoto yuko tayari kupima d.n.a anadai hajawahi kutembea na mwanaume yoyote tofauti na amebwana kwel
 
Sikia dat ni family ishu huyoo jamaa akifungwa nan anatunza mtot?? Kaeni chini mzungumze kam familia..

amekataa kuhojiwa anasema atapambana na yeyote atakaye mfuatafuata haogopi
 
Back
Top Bottom