Msaada wakuu,
Bongo kwangu tafrani,
Nimetumia kila njia kufanikiwa na kujituma sana katika maisha ya hapa Tanzania na sijafanikiwa.
Kama kusoma nina Diploma IT,
Kama biashara nishafanya bila mafanikio.
Nimeona nitafute nchi nyingine nihamie,
Niko tayari kufanya kazi yoyote huko.
Ushauri wenu wakuu niende nchi gani Ulaya ambapo ndoto zangu nitazifanikisha.
Kaka nakushauri soma upate degree yako umri unao halafu apply kama expert hizo nchi za wazunguMsaada wakuu,