Ushauri: Nataka kumuacha mke wangu wa Kimarekani

Ushauri: Nataka kumuacha mke wangu wa Kimarekani

Dah! Bro upo maandishi matatu, vipi maisha ya huko dah! Nami natamani kuishi huko big up sana nasikia huko hakuna masikini dah! Marekani iyooo! Mwanangu umewin maisha, ukirudi utatuhadithia jinsi kulivyo.

Jabari wana JF.
Mimi ni Mbongo lkn naishi Marekani na mke wangu ni Mmarekani .
Nachotaka hapa ni ushauri na si matusi tafadharini.
Ni hivi ....Mke wangu ni mkorofi sana, nataka nimpige chin(nimuache) .

Niko kwenye ndoa miaka 3 na ninayo Green Card ya miaka kumi.
Hofu yangu nikimuacha vipi uhalali wa kuishi bila yeye ?

Wana JF wa Marekani naombeni ushauri tafadharini.
 
USA baby :usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
Mmnnghh!!, hawa wazungu banah! yataka moyo kweli kweli. Nadhani shida ni kwamba ni culture 2 tofauti kabisa, so ukishaishi nae kwa miaka kadhaa unagundua kwamba mnatofautiana kwa mambo meeengi sana, hata hivyo shukuru ni mmarekani, ingekuwa mtaliano ungesharudi home kitambo sana
 
Mtoa mada ulitaka tujue kuwa nawe unaishi marekani ama? Kwani huko hakuna wanasheria....manina tafuta dola kadhaa kaombe ushauri wa kisheria, unakuja kulia lia humu wakati sisi hapo Mpumalanga hatujafika. Natilia shaka uwezo wako wa kupambanua mambo.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom