Jabari wana JF.
Mimi ni Mbongo lkn naishi Marekani na mke wangu ni Mmarekani .
Nachotaka hapa ni ushauri na si matusi tafadharini.
Ni hivi ....Mke wangu ni mkorofi sana, nataka nimpige chin(nimuache) .
Niko kwenye ndoa miaka 3 na ninayo Green Card ya miaka kumi.
Hofu yangu nikimuacha vipi uhalali wa kuishi bila yeye ?
Wana JF wa Marekani naombeni ushauri tafadharini.