jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,510
- 43,517
Kama ni graduate..hiyo hela ya sherehe bora uiongezee umnunulie bodaboda kama wakiume kama wakike mtafutie laini za uwakala aanze biashara watakuja kukushukuru badae.
#MaendeleoHayanaChama
#MaendeleoHayanaChama