nyemenowa tindamanyile
Member
- Jan 28, 2022
- 42
- 44
Tarehe 03/12/2022 Kuna graduation ya kijana wangu na nataka kumfanyia KASHEREHE(gharama nafuu) kadogo iwe kwenye GARDEN, BEACH au hata UKUMBI kwa wanafamilia kama 20. NAOMBA ushauri.
Bia ziwepo,Tarehe 03/12/2022 Kuna graduation ya kijana wangu na nataka kumfanyia KASHEREHE(gharama nafuu) kadogo iwe kwenye GARDEN, BEACH au hata UKUMBI kwa wanafamilia kama 20. NAOMBA ushauri.
Umeshamchangia shujaa wa taifa aliyeokoa ndugu zako kule ziwani.Unachangisha michango?
Ushauri Safi kabisa huuHiyo hela unayotaka uteketeze hapo, mpeleke akasome kozi fupi; udereva, graphics n.k