Ushauri: Nataka kujifunza namna ya kupika keki na kuzipamba,je elimu hiyo inaweza kunilipa mbeleni?

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Salaam wadau!

Baada ya kuona ajira hazieleweki kwenye utawala huu wa jiwe

Nimeamua nijifunze ujasiliamali wa kupika keki kuzipamba na kuziuza katika sherehe mbalimbali

Pia Nina interest sana na masuala ya mapishi na vinywaji so nimepanga nifungue japo kigrocery na kupitia mitandao ya kijamii nitangaze biashara zangu

Sasa nauliza kwa wazoefu je biashara ya keki za sherehe ikoje yani soko lake ,mwenye uzoefu wa hii biashara anijuze.
 
naamini utafanikiwa ila fanya kwanza analysis ya soko mahali ulipo kabla hujaanza. kwa mjini ni simple zaidi kuliko huku vijijini kwetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom