Ushauri: Nataka kuishi wilaya ya Mbinga

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
372
Wanajamvi naomba ushauri wenu nataka kuishi wilaya ya MBINGA naomba ushauri uzuri wa eneo na haliya hewa kama ni JOTO kama Dsm.....au maisha ni magumu...vipi naomba ushauri.....karibuni inbox pia
 
ukishatua tu stendi cheki upande wa pili utaona pub moja maarufu sana mbinga nzima inaitwa EAGLES PUB,utanikuta pale.uliza dj nasmile..karibu sana.maisha ni rahisi sana kama una biashara,kazi n.k
 
Wanajamvi naomba ushauri wenu nataka kuishi wilaya ya MBINGA naomba ushauri uzuri wa eneo na haliya hewa kama ni JOTO kama Dsm.....au maisha ni magumu...vipi naomba ushauri.....karibuni inbox pia
Ndugu Popo mimi ni mwenyeji wa Mbinga japokuwa sija ishi huko muda mwingi, ni sehemu nzuri kuishi kama sehemu nyingine za Tanzania, watu wa Wilaya ya Mbinga ni wakarimu sana kwa wageni na utapata marafiki kwa kipindi kifupi sana. Ila usimuamini kila mtu hasa kwenye maswala ya fedha. Biashara wanapenda zaidi kukopa kisha wakulipe baadae na hapo ndipo shida huanza. Naweza kukueleza mengi labda ni pm
 
Mbinga ni moja ya vituo navyopitaga kuitafuta Mbababay, ni pazuri kama mkulima kuna maji ya kutosha, milima milima mingi. Kahawa, na mbao..
 
Nenda mkuu kama wewe ni men kisha mpigaji wa papuchi nenda fasta kuna mademu kibao wa kimatengo na kinyasa hawana desturi ya kukataa ila ujitahidi kuwa na tunguvu kidogo
Kwani kabila gani Tanzania wanawake wanajua kukataa? Lakini pia katika kutembelea kwangu nchi mbali mbali hapa duniani sijawahi kuona nchi ambayo wanawake wanawakatalia wanaume sababu hiyo ni nature, kama kuna sehemu hapa Tanzania au duniani wanawake wana desturi ya kuwakatalia wanaume hiyo itakuwa ndio mwisho wa hicho kizazi. Ukiona unakataliwa na wanawake basi jiulize mara mbili mbili popote pale duniani.
 
Sexer asante sana nikitua tu hapo mkuu nakucheki....vp mishikaki IP0 apo?
 
Ndugu Popo mimi ni mwenyeji wa Mbinga japokuwa sija ishi huko muda mwingi, ni sehemu nzuri kuishi kama sehemu nyingine za Tanzania, watu wa Wilaya ya Mbinga ni wakarimu sana kwa wageni na utapata marafiki kwa kipindi kifupi sana. Ila usimuamini kila mtu hasa kwenye maswala ya fedha. Biashara wanapenda zaidi kukopa kisha wakulipe baadae na hapo ndipo shida huanza. Naweza kukueleza mengi labda ni pm
Mkuu niambie..kuhusu mbinga
 
Mkuu niambie kuhusu mbinga
 
Sema mkuu
 
Back
Top Bottom