Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,378
Utani wa Lupumba
ahahhahahahaahhah.......
Utani wa Lupumba
Hizo sms zinasemaje, kabla sijakuelekeza 😀Naziona sms zinazoingia kwenye box langu tuu! Lakini kutuma siwez
Mwambie umeota unagegeda mama watu wazima.. Halafu unawataja hao wote uliogegeda.Naaanzaje sasa kumwqmbiaa [emoji3][emoji3][emoji3]
Upo kama mimiWakuu salama?
Jamani mwenzenu kidogo nina tatizo napenda kutoka kimapenzi na wamama na watu walio nizidi. Saa mbaya zaidi ni kwamba naona kama inaniathiri.
Nina mke home lakini nahisi mapenzi yapo kwa mtu mkubwa kiumri kabisa. Imefikia mpaka wife nahisi anagundua.
Nimejitahidi kuacha lakini wapi? Nahisi na enjoy mapenzi [HASHTAG]#GAME[/HASHTAG] kwa mtu alie nizidi umri sana. Najitahidi kujitoa nashindwa.
Naomba msaada wa mawazo
matured women wana vyote ambavyo wasichana au wanawake wadogo hawana
-more understanding
-less demanding zaidi ya muda
-too insecure as in wanaamini hawapendeki tena,so ukiweza kuwaonyesha tofauti umeua
-maisha kwa kiasi kikubwa yamewaridhisha,hata yule asiye na kipato kikubwa amesharidhika na hali yake so hahangaiki viiile
-swala Zima la kuwa amemaliza kuzaa nalo linaongeza kurelax maana hana hofu hiiivyo kuhusu uzazi,na hata ikitokea ana uhakika wa kulea,iwe kifedha au kiumama
-matured women hawaongei mapenzi tu all the time ,kuna muda mtaongea mpk mipaka ya mashamba ya kwenu
-the fact that wanaijua miili yao kujiachia kihisia zaidi ni kukubwa so very likely anakuwa more womanly
SAME APPLIES TO MATURED MEN
so now unaweza kuelewa kwanini ni vise versa
Hizo sms zinasemaje, kabla sijakuelekeza 😀
Uko umri ukiwa nao, hasa miaka 23 hadi 30 ni kawaida sana kutongoza kinamama wanaokuzidi umri. Hii ni kawaida tu kutokana na maumbile ya binadamu. Hapo unakuwa na msukumo kuwa na wewe ni mkubwa hivyo unamuweza mkubwa yeyote. Baada ya umri huo utavigeukia vibinti.Wakuu salama?
Jamani mwenzenu kidogo nina tatizo napenda kutoka kimapenzi na wamama na watu walio nizidi. Saa mbaya zaidi ni kwamba naona kama inaniathiri.
Nina mke home lakini nahisi mapenzi yapo kwa mtu mkubwa kiumri kabisa. Imefikia mpaka wife nahisi anagundua.
Nimejitahidi kuacha lakini wapi? Nahisi na enjoy mapenzi [HASHTAG]#GAME[/HASHTAG] kwa mtu alie nizidi umri sana. Najitahidi kujitoa nashindwa.
Naomba msaada wa mawazo
Uko umri ukiwa nao, hasa miaka 23 hadi 30 ni kawaida sana kutongoza kinamama wanaokuzidi umri. Hii ni kawaida tu kutokana na maumbile ya binadamu. Hapo unakuwa na msukumo kuwa na wewe ni mkubwa hivyo unamuweza mkubwa yeyote. Baada ya umri huo utavigeukia vibinti.
Hii pia huwatokea kinamama wa umri wa kuanzia miaka 42 hadi 50 akitongozwa na kijana mdogo hufurahia sana na kujiona kwamba kumbe bado hajazeena.
Hivyo kama huo ndiyo umri wako ni kawaida kwa karibu binadamu wote mkuu. Utaacha automatically
sasa nikwambieDaah safi sana yani umeingea mle ninamopituaaa
acha kujiendekeza!Thnx mkuu mm ni 33 now. Lakini naona nazidi kuvutiwa zaidi so nikaona pengine inaweza kuwa tatizo ila kama umesema itapunguwa sawa nashukuru sana mkuu
acha kujiendekeza!
UKIMWI best!
tatizo pia unao wengi!
sasa wewe jipe moja ukiwa mkubwa utaacha wakati ndo ushakuwa mkubwa!
so kutokuwa na maambukizi ni permanent enh?Bahati nzuri sana sina maambukizi na nimekuwa na mahusiano ya hivi matatu pekee
so kutokuwa na maambukizi ni permanent enh?
sawa!
Tunatoka mara nyingi tunaenda Dubai mara kadhaa hata zanzibara mara nyingi! Ila siridhiki na mapenz yake ya mababu ndio zaid