Ushauri: Napenda kutoka na walionizidi umri

Vijana tafuteni Pesa msilete story za kizembe humu jukwaani. Mnapenda mitelemko. Mabinti na ma sister do ni gharama. Ndoo mnaponea kwa wahanga wa unyanyasaji wa kijinsia.

With all do respect jamaa yangu! Mm sio mmoja wao! Nina maisha yangu nina vijisenti vya kununulia nyanya nina kibarua kizuri tuu kimsingi sina shida ya vitu vidogo vidogo! Nimekuwa adicted tu na watu wazima! Sijawahi kupewa pesa au kitu chochote kutoka kwa mtu mzimaa!
 
Tatizo la kupenda miteremko hiyo,maana mijimama huwa haitaki kuongwa ila nakushauri UKAPIME maana huwa tayari wameshaukwaa hivyo wanatoa tu ila wewe unaona kama una bahati
ok,Keep it real and go on.
 
Sema we unaonekana unazama sana chumvini kwaiyo vibibi vinakupetpet il huendelee kutoa burudani amna chochote, kuna raha duniani kama kukutana na saa 6 ?????? Wewe[emoji15][emoji12]
 
biashara matangazo sawa tumekuelewa mpenda pesa za bure bure
 
With all do respect jamaa yangu! Mm sio mmoja wao! Nina maisha yangu nina vijisenti vya kununulia nyanya nina kibarua kizuri tuu kimsingi sina shida ya vitu vidogo vidogo! Nimekuwa adicted tu na watu wazima! Sijawahi kupewa pesa au kitu chochote kutoka kwa mtu mzimaa!
Kama ni kazi ninayo na mshahara mzur tuu ishu ni interest ya kudate wakubwa ndo ina matter
 
Nina asilimia 99% pia mke wako amekuzidi umri , jaribu kujifunza kumtoa out inaweza ikasaidia
 
Tunatoka mara nyingi tunaenda Dubai mara kadhaa hata zanzibara mara nyingi! Ila siridhiki na mapenz yake ya mababu ndio zaid
 
Unapenda miteremko maana wana hela. Itakutokea puani.
 
hao
Wakuu salama?

Jamani mwenzenu kidogo nina tatizo napenda kutoka kimapenzi na wamama na watu walio nizidi. Saa mbaya zaidi ni kwamba naona kama inaniathiri.

Nina mke home lakini nahisi mapenzi yapo kwa mtu mkubwa kiumri kabisa. Imefikia mpaka wife nahisi anagundua.

Nimejitahidi kuacha lakini wapi? Nahisi na enjoy mapenzi [HASHTAG]#GAME[/HASHTAG] kwa mtu alie nizidi umri sana. Najitahidi kujitoa nashindwa.

Naomba msaada wa mawazo
wakubwa ni watamu acha tuu aisee,,,kwanza akivua chupi anakua committed kugegedwa na unapiga anakusifia unapewa na asante,,sio hawa wadada unasugua yeye kashika smartphone
 
Wakuu salama?

Jamani mwenzenu kidogo nina tatizo napenda kutoka kimapenzi na wamama na watu walio nizidi. Saa mbaya zaidi ni kwamba naona kama inaniathiri.

Nina mke home lakini nahisi mapenzi yapo kwa mtu mkubwa kiumri kabisa. Imefikia mpaka wife nahisi anagundua.

Nimejitahidi kuacha lakini wapi? Nahisi na enjoy mapenzi [HASHTAG]#GAME[/HASHTAG] kwa mtu alie nizidi umri sana. Najitahidi kujitoa nashindwa.

Naomba msaada wa mawazo

Una pepo ndugu yangu wahi ukaombewe
 
Na mimi hako kaugonjwa kimtindo nnacho
 
Wakuu salama?

Jamani mwenzenu kidogo nina tatizo napenda kutoka kimapenzi na wamama na watu walio nizidi. Saa mbaya zaidi ni kwamba naona kama inaniathiri.

Nina mke home lakini nahisi mapenzi yapo kwa mtu mkubwa kiumri kabisa. Imefikia mpaka wife nahisi anagundua.

Nimejitahidi kuacha lakini wapi? Nahisi na enjoy mapenzi [HASHTAG]#GAME[/HASHTAG] kwa mtu alie nizidi umri sana. Najitahidi kujitoa nashindwa.

Naomba msaada wa mawazo
Na akili wanakuzidi ndio maana wanakuchota akili[emoji1] . Cheap hawana gharama,piga kazi ili ugharamie,wanahonga.Wanaitwa used .Wakukusaidia mkeo hajiachii kwako. Duh sijui nae anapenda dogo dogo,pole kaka.
 
Hapo ni kama unatembea na mzazi wako !! Inaonesha hilo jimama linakulipa vizuri, Hongera kwa kupata ajira ya ufundi kwenye mwili wa mtu!!
 
Back
Top Bottom