Ushauri: Napenda kufanya mapenzi na watu walionizidi umri

sidhan kama kuna tatizo hapo cha msingi tu sio ndugu yako kila mtu ana haki ya kufanya anachojiskia ila tu asivunje sheria...anyway nakushauri acha uzinzi utakupeleka pabaya
 
Kila kitu kinaanzia kwenye ubongo wako. Huwezi kukipenda kitu au kukichukia mpaka ukifahamu kwanza. Nawe baada ya kufahamu ladha ya watu wazima ukajikuta umenasa. Niseme tu si jambo baya kufanya mapenzi na mtu aliyekuzidi umri.kuna watu wanaoa kabisa seuze mapenzi tu. Nao pia wanakukubali kwa sababu wameona unayaweza. Ila cha msingi we zingatia dhumuni lako tu.
 
Acha uzinzi , mwenyewe waona sifa... Kumbe upumbavu mtupu
 
Ndo shida ukianza na wanawake wa umri ni shida kuachana nao mana na wao huugua kama mtoto mchanga kwenye mapenzi halafu wanaweke wakubwa waogope ni wizi sana wa mapenzi ukiingia ndo hutoki tena
 
Kila kitu kinaanzia kwenye ubongo wako. Huwezi kukipenda kitu au kukichukia mpaka ukifahamu kwanza. Nawe baada ya kufahamu ladha ya watu wazima ukajikuta umenasa. Niseme tu si jambo baya kufanya mapenzi na mtu aliyekuzidi umri.kuna watu wanaoa kabisa seuze mapenzi tu. Nao pia wanakukubali kwa sababu wameona unayaweza. Ila cha msingi we zingatia dhumuni lako tu.

Asante sana mdau
 
Ndo shida ukianza na wanawake wa umri ni shida kuachana nao mana na wao huugua kama mtoto mchanga kwenye mapenzi halafu wanaweke wakubwa waogope ni wizi sana wa mapenzi ukiingia ndo hutoki tena

Wanajua kutumia si kidogo
 
Mmmm wale tu maadam ni makubalianao yenu ....... Sambaza upendo ila ujue mbele kiza totoro ukifikisha 40 yrs utamtaka wa 70yrs stuka
 
Habari wana MMU!

Mimi ni kijana wa early 20s, huwa inatokea navutiwa zaidi na wanawake walionizidi miaka.

Nishapata wa miaka 30 mpaka 40 na wengine wa 20 s zaidi yangu.

Lakini cha kushangaza zaidi nao huwa wanapenda kuwa na mimi na huwa wananikubali sana tu.

Msaada wadau!

wanajua mapenzi...
 
utadanja siku c nyingi mkuu,angalizo: fanya checkup ya miwaya before hujabanjuana nao la sivyo taa itawaka siku sio mingi,wengine wanajifanyaga wametulia baada ya taa kuwaka hivyo ukijimix anakupa nyingii ukija kustuka zimebaki 180 full nyemelezi!
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom