Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Aaliyyah

JF-Expert Member
Mar 20, 2022
15,836
37,836
Nilikuwa kwenye serious relationship miaka 3 hivi na tulipanga tufunge ndoa mwaka huu baada ya kuwa mbali akaamua kurudiana na ex wake na mwisho akakubali kuwa kweli wamerudiana na kizuri zaidi alisema sijawahi mkwaza na hakuwa na sabbu ya msingi ya kunifanyia hivyo nikaona Riziki tu kumbe Ilikuwa imeisha maisha yaendelee.

Ila nilikuwa nawapenda sana yeye familia yake na hata mtoto wake na nilikuwa nawaona kama ndugu zangu kabisa lakini baada ya hayo sitaki mazoea nae kabisa niishi maisha yangu.

Shida ni kuwa analazimisha tuwe karibu na mm nilishakataa nishamblock mara kadhaa lakini atatafuta namba anipigie mara anitext nikaona nimuunblock tu

Ndugu zake Bado wananitafuta mara hivi mara hivi, naona wananirudisha nyuma Kila wakati. Mnipe mbinu mpya sitaki kusikia habari zao kabisa.
 
Last edited:
Mwaka mmoja tu tulikuwa karibu miwil tumeishi mbali sema tu unawivu🤣🤣🤣🤣
Dah sasa wewe nani alikwambia kuwa long distance relationship zina work? Hapo lazima kidume akamatie mbususu nyingine huku wee ukiendelea na self service.

Achana nae huyo wee njoo hapa nikuwowe upate kuheshimika katika jamii. Sio watu wanakula mbususu na kusepa huku wukiwa unataabika na self service
 
Sometimes letting go, is the best way to go !

Ex wako sio tu kukuachana Nawewe, bado Hana utayari wa KUOA hata huyo walorudiana naye.

Kilichotokea jamaa anaendelea kua karibu yako Ili aendelee kua na Free K ya pembeni.

Sasa uamuzi ni wako, kuendelea kua kipoozeo? Au lah.

Kuendelea kujizibia nafasi Kwa mtu Fulani anayekuhitaji , au kuruhusu Maisha mapya!
 
Kuna wakati tunaumia mioyo kuwafikiria wapenzi tuliokuwa nao kwa muda, na inatokea sintofahamu anaenda zake. Binafsi mashairi haya yananipa hisia kali sana juu ya mapendo
Intro:
C'mon C'mon
yeah
Can you feel me?
(Baby can you feel me?)
I've got something to say
Check it out

Verse 1:
For all this time
I've been lovin' you girl
Oh yes I have
And ever since the day
You left me here alone
I've been trying to find Oh, the reason why


So if I did
something wrong
Please tell
I wanna understand
'Cause I don't want
This love to ever end

chorus:
And I swear
If you come back
in my life
I'll be there till the end of time
(Come back to me
Come back to me
Back into my life)
And I swear
I'll keep you right
By my side
'Cause baby
You're the one I want
(Come back to me
Come back to me
Back into my life)
Oh yes you are

Verse 2:
I watched you go
You've taken
My heart with you
Oh yes you did
Every time
I tried to reach you
On the phone
Baby you're never there
Girl you're never home

So if I did something wrong
Please tell me
I wanna understand
'Cause I don't want
This love to ever end
No, no, no, no

/repeat chorus

Verse 3:
May be I dont know
How to show it
And may be
I didn't know
What to say
This time
I won't disguise
Then we can
Build our lives
Then we can
Be as one

/repeat chorus.
If you come back-Blue
 
Dah sasa wewe nani alikwambia kuwa long distance relationship zina work? Hapo lazima kidume akamatie mbususu nyingine huku wee ukiendelea na self service.

Achana nae huyo wee njoo hapa nikuwowe upate kuheshimika katika jamii. Sio watu wanakula mbususu na kusepa huku wukiwa unataabika na self service
Mimi naheshimika sana kuliko unavodhani kinachompa mtu heshima sio ndoa pekee ni the way anavoishi na watu na anavojiweka wew sema tu Sophy nimekuelewa sio masuala ya heshima 😂😂😂
 
Ex wako na familia yao wanakutengenezea mazingira ya kuja kuolewa bi mdogo.

Tena inaonekana wewe ni mwanamke unayejiweza kiuchumi ndio maana hawataki kukuacha uende. Eti anasema akikwama atakucheki, mjinga kweli anakuona wewe buzi lake.

Move on dear, block takataka zote fanya maisha yako.
 
Nilikuwa kwenye serious relationship miaka 3 hiv na tulipanga tufunge ndoa mwaka huu baada ya kuwa mbali akaamua kurudiana na x wake namwisho akakubali kuwa kweli wamerudiana na kizurizaidi alisema sijawahi mkwaza na hakuwa na sabbu ya msingi ya kunifanyia hivo nikaona Riziki tu kumbe Ilikuwa imeisha maisha yaendelee

Ila nilikuwa nawapendasana yeye familiayake na hata mtotowake na nilikuwa nawaona km nduguzangu kabisa lakin baada ya hayo sitaki mazoea nae kabisa niishi maishayngu

shida ni kuwa analazimisha tuwe karibu na mm nilishakataa nishamblock mara kadhaa lakin atatafuta namba anipigie mara anitext nikaona nimuunblock tu nduguzake Bado wananitafuta mara hiv mara hivi naona wananirudisha nyuma Kila wakat mnipe mbinu mpya sitaki kusikia habarizao kabisa View attachment 2370362View attachment 2370363View attachment 2370364
Pole shangazi. Na mie nimeachika usiku wa jana baada ya mwanamke kupata promotion kazini, tumedumu kwa miezi miwili tu 😂😂😂 hapa natafuta wa kuziba nafasi chap chap
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom