Ushauri naombeni msaada

Ushauri naombeni msaada

nilifikiria hilo ni mbake kisha niachane naye lakin nafsi yangu huwa inasita saana aliniambia mm ninaumwa siko vizur basi minamwachia
Usikute amekanyaga miwaya anakuonea huruma asije akakuambukiza..

Wakati mwingine likuepukalo lina kheri na wewe.

Kuwa na subira.
 
Haya Fanya namna yoyote hizo tricks zako nizione

fresh-prince.png
 
WTF!! 150,000!!! Miezi mitatu!!!!
Usirudie tena kuandika hapa hela unazo honga unajidharirisha, maana kuna wengine hutoa hiyo per day na hata 3,000,000 miezi mitatu
 
Si mnapenda kuwasema wanaume wa Dar, msifieni huyu Basi
 
fanya maamuzi magumu kabla hajaendelea kukutumbua zaidi, huyo anachukua laki na nusu kwako anaenda kumpa mwanaume mwenzio na miguu anamtanulia. Piga chini harakaaaa
This is being very insecure. Mbona kama hamjiamini wanaume? Kweli among all reasons zinazomfanya huyo binti asitake kuguswa, this came to your mind first? Mtoa mada kaa chini muulizane kulikoni, this is very childish
 
msambaa umetelemka juzi toka milimani, mademu wanakutafunaje huku mjini?
 
Kwani lazima kugusana???
Ukitaka kumgusa nenda kwao katoe mahari muoe...utamgusa hadi kumpapasa...
 
Back
Top Bottom